Rais tuletee mwamba Paul Makonda awe mkuu wa mkoa, tunamhitaji kwa sana

THE LOST

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
1,054
2,000
Sina nia ya kukufundisha kazi, ila sipingani na ukweli wa kwamba Paul Christian Makonda ni kiongozi haswa. Kiongozi huacha sifa bora na miongoni mwa mambo mazuri alotuachia Makonda kwa taifa hili ni pamoja na vita alivyoshinda vya madawa ya kulevya na kuwa mstari wa mbele katika kutokomeza ukatili wa kijinsia.

Kwanini Mwanza tunamhitaji Makonda?

1. Uwepo wa migogoro mingi ya ardhi.
2. Halimashauri nyingi kutosimamia kwa kina pesa za miradi mbalimbali iliyochini yake mfano, ujenzi wa masoko, Barabara za mitaa pamoja na ujenzi wa stendi za magari ya abiria.
3. Ubadirifu mkubwa wa makusanyo ya halimashauri nyingi za mkoa wa Mwanza.

Kwanini Makonda na si mtu mwingine?

1. Mwamba ni jasiri na mbunifu.
2. Mwamba hamwonei MTU Haya wala aibu.
Kwa sifa hizi naamini kabisa mwamba atakuja kusimamia misingi ya sheria ilopindishwa na baadhi ya viongozi wa halimashauri za wilaya hapa mwanza.

NB. Jumamosi ijayo tufanye usafi kwa wingi kukumbuka jambo zuri la kufanya usafi aloliasisi Makonda.
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
50,872
2,000
Bashite nakusihi nenda kaendelee na kazi yako ya upishi kwenye meli ya wagiriki.
Screenshot_20200822-135521.png
 
Ta Nanka

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
895
1,000
Sina nia ya kukufundisha kazi, ila sipingani na ukweli wa kwamba Paul Christian Makonda ni kiongozi haswa. Kiongozi huacha sifa bora na miongoni mwa mambo mazuri alotuachia Makonda kwa taifa hili ni pamoja na vita alivyoshinda vya madawa ya kulevya na kuwa mstari wa mbele katika kutokomeza ukatili wa kijinsia.

Kwanini Mwanza tunamhitaji Makonda?

1. Uwepo wa migogoro mingi ya ardhi.
2. Halimashauri nyingi kutosimamia kwa kina pesa za miradi mbalimbali iliyochini yake mfano, ujenzi wa masoko, Barabara za mitaa pamoja na ujenzi wa stendi za magari ya abiria.
3. Ubadirifu mkubwa wa makusanyo ya halimashauri nyingi za mkoa wa Mwanza.

Kwanini Makonda na si mtu mwingine?

1. Mwamba ni jasiri na mbunifu.
2. Mwamba hamwonei MTU Haya wala aibu.
Kwa sifa hizi naamini kabisa mwamba atakuja kusimamia misingi ya sheria ilopindishwa na baadhi ya viongozi wa halimashauri za wilaya hapa mwanza.

NB. Jumamosi ijayo tufanye usafi kwa wingi kukumbuka jambo zuri la kufanya usafi aloliasisi Makonda.
Ila watu mna utani, eti katokomeza ukatili wa kijinsia 😃!! Hivi kumbe na usafi kila jumamosi aliasisi yeye?
 
steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
6,794
2,000
Doh,kweli kukosa kazi ni tabu sana,sasa
ndugu ulikimbilia nini kwenye ubunge na huku bado una njaa na hukuwa na uhakika wa kushinda,jiajiri tu kama ulivyokuwa unapenda kuwaambia graduates,sasa wewe si una mtaji wa ukuu wa mkoa kile kiinua mgongo,unaweweseka nn sasa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom