Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Meli za kutoka Dubai kuja DSM huchukua siku 14, Mzigo ukifika Dar Es Salaam bandarini utakaa siku hata 20-28 ukisubiri kupakuliwa. Meli ikitoka UK au China itatumia siku 28-30 kufika Dar, Mzigo...
27 Reactions
99 Replies
7K Views
Hakika Nadhani umefika wakati sahihi kwa Serikali Kuacha kufanya Biashara ya kuvusha Wananchi pale Ferry kwa kutumia Pantoni zake. Nasema hivi kutokana na TEMESA KUSHINDWA kuwahudumia Wananchi...
0 Reactions
8 Replies
759 Views
Kuna tetesi kadhaa zimeanza kusambaa mitaa ya Chato tangu leo asubuhi kuwa, ujio wa Rais Samia katika Wilaya ya Chato katika kuadhimisha kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kufariki dunia kwa rais...
11 Reactions
73 Replies
6K Views
Waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba amesema mfumuko wa bei unaolalamikiwa hausababishwi na sera zetu wala uzembe. Kadhalika, fedha ya mkopo wa COVID 19 kutoka IMF imesaidia kuongeza mzunguko wa...
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Maana siyo kawaida taasisi kubwa na ya kimataifa kama Chadema kufanya kikao muhimu cha Kamati kuu na wananchi wasijuzwe kilichojiri ama kujadiliwa. Ndio nauliza, Chadema mna afisa habari? Kama...
3 Reactions
16 Replies
953 Views
Wanabodi, Natanguliza Heri ya sikukuu ya Pasaka, leo naendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, na bado hoja kuhusu udikiteta Tanzania, zitaendelea, lakini kwa vile hoja ya...
16 Reactions
138 Replies
13K Views
Wanabodi, Mie nashangaa sana kwanini huyu anayejiita Pasco hapendi chochote kinachofanywa na serikali ya Magufuli. Mbona sijahawi kuona akikosoa matendo mabaya ya watendaji serikalini na...
2 Reactions
29 Replies
5K Views
Nimesoma utaratibu wa malipo ya serikali Kwa Mtumishi anayefanya kazi nje kituo chake cha kazi, utaratibu unaeleza kwamba Mwisho wa malipo ni miezi sita baada ya muda huo utafutwe mfumo mwingine...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Msitarajie watu walioshinda uchaguzi na wengine kupata vyeo serikalini kwa msaada wa mtu ambae alikuwa adui wa demokrasia, watu hao waache kumtukuza mtu wa aina hiyo, na inawezekana pia wanafanya...
4 Reactions
4 Replies
562 Views
Ukiwa kama mkurugenzi mkuu nimeona ndani ya mwezi mmoja ukifungua vituo vya TBC Dodoma na Morogoro ni jambo zuri sana. Nasikitika kuwa unasimamia fake news badala Yakuwalisha wananchi habari...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Kikao cha Kamati Kuu ya chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiendelea muda huu, ikiongozwa na Mh. Freeman Mbowe muda huu. Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama wakiwa ukumbini wakifuatilia...
33 Reactions
89 Replies
12K Views
Bei ya mafuta ya petroli na diseal imeshuka tena na kuwa chini ya USD 100 kutoka 130 wiki iliyopita. Wiki iliyopita serikali ilitoa tozo ambalo ni mahususi kwa jambo maalumu. Mimi nadhani...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Unaweza ukadhani niko ndotoni lakini huo ndio ukweli, 2025 Chama kikuu Cha upinzani Chadema kina nafasi nzuri zaidi ya kushinda uchaguzi, kuliko chaguzi zote zilizopita, Sababu kubwa...
11 Reactions
79 Replies
5K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema anapenda kuiona #Tanzania yenye watanzania wanaojielewa katika kuilinda na kuitetea nchi Sio Watanzania wanaoambiwa waingie barabarani na kuharibu mali za watu...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Baada ya vyama vingi 1995 mpaka 2005 Mkapa alipondwa sana,ooh katili, fisadi n.k akatoka. Watu wakasema bora Mwinyi tu mzee wa ruksa. 2005-2015 Kikwete kasi mpya nguvu mpya ari mpya, rais...
14 Reactions
55 Replies
4K Views
Siku za karibuni watanzania wamekuwa wakishangazwa na yanayoendelea, ni kama walikuwa kwenye usingizi mzito wasijue ni nini kinachoendelea lakini kadiri usingizi unavyoisha ndivyo wanabaki...
3 Reactions
10 Replies
914 Views
Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Flavian Kasala amewataka Watanzania kusimamia ukweli na haki katika kumuenzi Rais wa awamu ya tano, hayati John Magufuli. Askofu Kasala...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Polisi waua majambazi 6 -MOROGORO Eline Shaidi, Morogoro Daily News; Sunday,July 20, 2008 @00:01 Polisi wamewaua watu sita wanaotuhumiwa kuwa majambazi waliovunja na kuingia kwenye chumba...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Tanzania ni moja ya soko linalokuwa zaidi barani Afrika kwenye nyanja ya dijitali, takwimu ya mwaka 2020 ikionyesha watumiaji wa internet wamefika milioni 28.5 kutoka milioni 25.8 mwaka 2019 huku...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…