USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 11,981
- 28,255
📍🔰 CCM 360 ni zaidi ya akili kidigitali.
CCM app iliyoboreshwa zaidi na ziadi. Jisajili, lipa Ada na zungumza moja kwa moja na mtoa huduma wa CCM HQ kupitia CCM 360.
Habari ya mjini ni CCM 360. Pakua sasa app uako ufurahie upekee. Pata habari, matukio na taarifa mbalimbali za ccm nchi nzima kiganjani mwako.
Chama cha mapinduzi kazini 🔰🔰🔰