Kwa karata hakika, hongera tele kwa CCM

Kwa karata hakika, hongera tele kwa CCM

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
22,753
Reaction score
27,477
Kwa hili acha niseme ,mkiamua kuniokotea mawe mnipige fresh tuu!!!

Pichani ni mzee wa sukuma ndani Agrey Mwanri, hapa Ccm wametisha sana kumrejesha mwamba mchezoni tena kwa wakati sahihi, huyu ni mwamba wa siasa za uwajibikaji mkali, uzalendo, na vitendo vya papo kwa papo kitaalamu tunaita (populism ya kiutendaji)

Mzee wa "Sukuma Ndani": Huu ndio utambulisho wake mkuu unaosisitiza kuweka pembeni maneno mengi na badala yake kushinikiza uwajibikaji na nidhamu ili kupata matokeo ya haraka.

Mwanri pia ni mzuri sana katika Siasa za Majukwaani na Ucheshi: Anatumia lugha ya picha, sauti ya juu, na misemo ya kuvutia ili kufikisha ujumbe mzito kwa wananchi na watendaji wa serikali.

Mwanri pia ni (Field-Oriented):
Si mhasisi wa siasa za kukaa ofisini; anajulikana kwa kukagua miradi site na kuwawajibisha wahandisi na watendaji mbele ya kadamnasi.

We know CCM wana karata nyingi nzuri za kuzicheza kwa wakati huu na karata ya Mwanri imwkuja wakati muafaka "sukuma ndani"

Ni Matejoo

1000008805.jpg
 
ujinga wa kiwango cha sgr, ana nini jipya kwa mwananchi wa kawaida?
Endeleeni kutafuta rasilimali za Taifa letu lkn mjue kuwa ipo siku mtazitapika
Kwa hiyo nyie masifadi wadogo aka heche,mnawaonea wivu mafsidi wakubwa!😃😃😃,mnataka na nyie mfisadi kwa kimo kirefu!,
Kama chadema inaamini katika usafi na unyoofu,bw.heche kwanza akae pembeni.
 
Hatuzungumzii majungu hapa.
Tunahitaji report ya CAG akithinitisha hilo kama chama tupo tayari kumchukulia MH Heche hatua stahiki na siyo kusikiliza majungu yenu hayo
 
Kwa hili acha niseme ,mkiamua kuniokotea mawe mnipige fresh tuu!!!

Pichani ni mzee wa sukuma ndani Agrey Mwanri, hapa Ccm wametisha sana kumrejesha mwamba mchezoni tena kwa wakati sahihi, huyu ni mwamba wa siasa za uwajibikaji mkali, uzalendo, na vitendo vya papo kwa papo kitaalamu tunaita (populism ya kiutendaji)

Mzee wa "Sukuma Ndani": Huu ndio utambulisho wake mkuu unaosisitiza kuweka pembeni maneno mengi na badala yake kushinikiza uwajibikaji na nidhamu ili kupata matokeo ya haraka.

Mwanri pia ni mzuri sana katika Siasa za Majukwaani na Ucheshi: Anatumia lugha ya picha, sauti ya juu, na misemo ya kuvutia ili kufikisha ujumbe mzito kwa wananchi na watendaji wa serikali.

Mwanri pia ni (Field-Oriented):
Si mhasisi wa siasa za kukaa ofisini; anajulikana kwa kukagua miradi site na kuwawajibisha wahandisi na watendaji mbele ya kadamnasi.

We know Ccm wana karata nyingi nzuri za kuzicheza kwa wakati huu na karata ya Mwanri imwkuja wakati muafaka "sukuma ndani"

Ni MatejooView attachment 3641842
CCM akitoka chuma anaingia chuma daima.

Agrey Mwanri ni chuma chenye uzoefu mkubwa sana katika uongozi wa chama na serikali, na kwahivyo atakua na mchango mkubwa sana katika kuleta mabadiliko na kuiimarisha zaidi CCM, ili iendelee kupendwa, kuaminika na kukubalika zaidi kwa wananchi 🐒
 
Kwa mauaji ya MO 29 tayari ameshachafuka kama niya yao ni kuisafisha CCM.....yoyote atakayejaribu kuficha mauaji yale ameshachafuka kabla hata hajaoga

CCM nani kawaloga...
 
Safu za uteuzi wa jina kuu pendwa kuelekea 2030,

Wameshaanza kujipanga!

Huyu ni team jk!!

Ni hayo TU!!
 
CCM akitoka chuma anaingia chuma daima.

Agrey Mwanri ni chuma chenye uzoefu mkubwa sana katika uongozi wa chama na serikali, na kwahivyo atakua na mchango mkubwa sana katika kuleta mabadiliko na kuiimarisha zaidi CCM, ili iendelee kupendwa, kuaminika na kukubalika zaidi kwa wananchi 🐒
Utekaji na mauwaji ya October 29 ni doa kubwa,halifutiki,halifichiki,hata aje msukuma hapo Bado ni tatizo
 
Gentleman,
hizo porojo na dhana potofu hazina athari zozote katika kuimarika kwa CCM, kukubalika kwa CCM na kuaminika zaidi kwa CCM mbele ya wananchi na waTanzania wote 🐒
 
Huyu ni mtu wa haki sana, mtamfukuza baada ya muda mfupi tu, maana yeye na matendo yenu ya uuaji, utekaji, utesaji, udhalilishaji nk haendani nayo kabisa
 
CCM kwa hapa ilipofikia haiwezi kusafishwa n yeyote hata malaika atoke sayari gani.
 
Kwa hili acha niseme ,mkiamua kuniokotea mawe mnipige fresh tuu!!!

Pichani ni mzee wa sukuma ndani Agrey Mwanri, hapa Ccm wametisha sana kumrejesha mwamba mchezoni tena kwa wakati sahihi, huyu ni mwamba wa siasa za uwajibikaji mkali, uzalendo, na vitendo vya papo kwa papo kitaalamu tunaita (populism ya kiutendaji)

Mzee wa "Sukuma Ndani": Huu ndio utambulisho wake mkuu unaosisitiza kuweka pembeni maneno mengi na badala yake kushinikiza uwajibikaji na nidhamu ili kupata matokeo ya haraka.

Mwanri pia ni mzuri sana katika Siasa za Majukwaani na Ucheshi: Anatumia lugha ya picha, sauti ya juu, na misemo ya kuvutia ili kufikisha ujumbe mzito kwa wananchi na watendaji wa serikali.

Mwanri pia ni (Field-Oriented):
Si mhasisi wa siasa za kukaa ofisini; anajulikana kwa kukagua miradi site na kuwawajibisha wahandisi na watendaji mbele ya kadamnasi.

We know Ccm wana karata nyingi nzuri za kuzicheza kwa wakati huu na karata ya Mwanri imwkuja wakati muafaka "sukuma ndani"

Ni MatejooView attachment 3641842
Huyo njaa kali anaenda na upepo, usitegemee huyu ndo yule wakati wa mzee magufuli
 
ccm ni ile ile hata aje Malaika wa mbinguni.
 
Watakapo kuja chadema itageuka mambo yatageuka!?
Ujinga kitu mbaya sana/ mshurutisheni HECHE akae pembeni asinganganie madaraka, AHOJIWE?
Mabadiliko hayaepukiki! Na ccm ikidondokea pua Tanganyika itapiga hatua kadhaa mbele!
 
Moderator anisaidie kurekebisha heading kwa kuweka neno kwa karata ""HII""
 
Back
Top Bottom