Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha alikabidhi ofisi kwa Mkuu mpya wa mkoa huo Juma Homela. Moja Kati ya mambo muhimu aliyomtahadharisha ni tukio lililowahi kumtokea yeye la...
7 Reactions
18 Replies
614 Views
Katika historia ya nchi nyingi duniani, tatizo kubwa zaidi la vyombo vya usalama halijawahi kuwa ukosefu wa uwezo, ni swali la uwajibikaji, Yaani vinawajibika kwa nani. Hatari ni Pale inapokuwa...
0 Reactions
4 Replies
60 Views
Wote ni madikiteita,
1 Reactions
3 Replies
55 Views
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA), Deogratius Mahinyila, amesema usaliti unaangamiza taifa zaidi, akisema baadhi ya Watanzania waliowahi kuaminiwa katika nafasi za umma...
7 Reactions
3 Replies
182 Views
  • Featured
Saa 3 kamili tayari watu wameshadika Mahakamani Kaa tayari kwa updates ======== Leo September 16, 2026 Last time tuliishia sehemu ya 428 Sehemu ya 429 Mahakama imeanza. Imepigwa high...
36 Reactions
297 Replies
9K Views
Taarifa mpya zinaeleza kwamba hayuko kwenye kituo chochote cha Polisi, Ndugu zake na madaktari wenzake hawajamuona popote Sasa ameanza kutafutwa Tunatoa wito kwa wananchi kutoa Taarifa kwa...
21 Reactions
126 Replies
2K Views
Mbona Waziri ambaye ni mkwe na mke wake ambaye ni naibu waziri hawapewi pole na salamu za rambirambi? Nimtakie pole waziri kwa kufiwa na baba mkwe wake na nimtakie pole mke wa waziri naibu waziri...
3 Reactions
9 Replies
313 Views
Hili tukio limetokea katika Kijiji cha Lamadi-Busega- Simiyu, sasa hao polisi wanaopiga RAIA hivi hadharani watashindwa KUUA sirini?MTU mmoja hana silaha unampigaje hivyo mbele za watu Pia soma...
5 Reactions
37 Replies
616 Views
Sababu hizi. 1. Upinzani wa sasa sio wa vyama bali ni wananchi 2. Hakuna ajira kwa vijana 3. Rushwa imekomaa sana Tanzania hasa kwa viongozi wa juu 4. Tanganyika na Zanzibar zimerudi na...
2 Reactions
4 Replies
74 Views
TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linafanya ufuatiliaji wa Picha Mjongeo inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikiwahusisha Askari wa Mkoa wa Simiyu. Aidha, uchunguzi kuhusiana na...
1 Reactions
28 Replies
688 Views
Amejenga msikiti mkubwa kwao bumbuli kama sehemu ya toba kwa mola wake kesho anakwenda kujichumia madhambi kwa kuongea vya uongo ili Lissu anyongwe
3 Reactions
9 Replies
284 Views
Lisu huyu hapa. Amesha kuwa winner au kuwa one of the contestants?
0 Reactions
1 Replies
129 Views
Maudhui ya Uzi: WanaJF, Katika medani ya kisiasa nchini, mipaka kati ya harakati za kweli na siasa za majitaka imekuwa ikifutika kwa kasi kutokana na nguvu ya mitandao ya kijamii. Hali hii...
11 Reactions
59 Replies
1K Views
Kwa yaliyokutokea liwe Fundisho kwamba, wanapotekwa wengine tupige kelele pamoja. Nitakutafuta nikupe pole ya Ana kwa Ana utakaporudi kuzika Kwa Kukumbusha tu ni Kwamba Mh Temba ni miongoni mwa...
30 Reactions
109 Replies
3K Views
Nimeishia kucheka tu kwa kweli. Yaani hao jamaa wamemkimbia Lissu? Hahahaa dah! AMA kweli Lissu ni moto wa kuotea mbali. Niseme tu ukweli kuwa hao maafande Lissu kawaacha mbali sana kiakili...
58 Reactions
94 Replies
2K Views
Sijawahi kufikiri itakuja siku Sisimizi akawatisha na kuwafyatisha mkia wale wanyama wetu wanaojulikana kama The Big Five, yaani wanyama wakubwa zaidi wapatikanao Nchi kavu. Wanyama hao ni Tembo...
8 Reactions
14 Replies
304 Views
Siku ya Mwisho kila goti litapigwa, hakutakuwa na Mswalie Mtume Kula Mtori nyama utazikuta chini
7 Reactions
19 Replies
527 Views
Kafulila anatupigia kelele kila siku. Nyuzi nyingi za Kafulila zinataja miradi ya PPP lakini ukweli lazima usemwe miradi mingi ya kimkakati inasuasua na mingine kusimama. Mfano ni mradi wa...
9 Reactions
36 Replies
347 Views
Mahakama imetoa wito kwa viongozi watatu wa vyombo vya dola ili kufika kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu. Viongozi hao ni Mkuu wa Majeshi (CDF), Mkuu wa Jeshi la Polisi...
5 Reactions
5 Replies
167 Views
🚨 THE MAN WHO SURVIVED THE BULLETS: TUNDU LISSU’S UNBROKEN FIGHT FOR DEMOCRACY, RULE OF LAW AND FREEDOM Tundu Antipas Lissu’s political journey is inseparable from Tanzania’s wider struggle...
2 Reactions
3 Replies
84 Views
Back
Top Bottom