CCM ni chama kikubwa lakini kimekosa viongozi wenye ushawishi

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
1,502
4,408
Waswahili wanasema wasiwasi ndio akili. Leo nami nina wasiwasi mkubwa juu ya Chama changu. Naamini CCM ni chama kikubwa sana naweza kukifananisha na mbuyu, unaweza usikatwe na shoka lakini ikipatikana zana nzuri unakatwa.

Nyakati za sasa wanaCCM wanaamini katika ukubwa wa chama kuliko uwezo wa ushawishi. Unakuta mtu anasema nitajiunga CCM ili nishinde kirahisi kwa sababu CCM itanibeba, hawa ni maslahi na ni aibu kwa mustakabali wa CCM.

Ifike mahali ili MTU aweze kugombea uongozi iwe ndani ya CCM au kupitia CCM awe amepitia mafunzo fulani yanayotolewa na chama hii itasaidia chama kutengeneza viongozi imara.

Mustkali wa Chama upo mikononi mwa Mwenyekiti wetu Ndg.Samia, ninakusihi na kukuomba ufanye mabadiliko kwenye uongozi wa Chama hususani kwa nafasi ya Ukatibu mkuu na katibu mwenezi.

Nafasi hizo zinahitaji wenye ushawishi kama Mzee Mangula au Comred Kinana, watu kwenye uwezo mkubwa wa kisiasa. Kwa kipindi cha mwaka sasa naona kuwa ombwe kubwa kwenye nafasi hizo.

Viongozi wenye ushawishi ni chachu ya kujenga CCM imara licha ya sasa inaweza isionekane kwa sababu ya ukubwa wa CCM lakini kwa baadae ni muhimu. Viongozi wenye ushawishi wanasaidia kujenga taasisi yenye ushawishi na nguvu ya ushawishi.
 
🐒🐒🐒
16484670847290.jpg
 
Niwakumbushe tu CCM bila Magufuli mngekuwa mnazomewa na manguo yenu ya kijani lakini cha kushangaza mnaidai saizi chama kimerudi kwa wenyewe wakati mnatembelea nyota ya Magufuli.
 
Kwa nafasi yake Magufuli alikiheshimisha Chama cha Mapinduzi lakini hiyo haina maana wengine hawakufanya kitu. Hii ndio inatoa picha ya umuhimu wa kuachiana kijiti unavyoonekana, inasaidia chama kupata mawazo mapya.

Ndugu Samia pia akimaliza kwa mazuri yake na mwenzake atayaendeleza.
.
CCM haikuwa Magufuli na wala sasa sio Samia ndio maana umeona licha ya Magufuli kutokuwepo CCM bado ipo
 
Kweli ipo ila nakwambia subiri mda utasema watu walikuwa wanamshabikia Magufuli sio CCM.
 
Vyama vya upinzani ni vidogo, lakini vimejaa viongozi wahuni, madikteta na wapenda madaraka. kwa maana hiyo bora CCM mara mia
 
Tuna tatizo kubwa sana la kijamii nchini. Muonekano wa vyama vyetu vya siasa, tabia za viongozi na wanachama, ni reflection ya jamii ilivyo.

Hata hivyo kitaasisi na rasilimaliwatu, bado CCM inayo uafadhali mkubwa ukilinganisha na vyama mbadala.
 
Vyama vya upinzani ni vidogo, lakini vimejaa viongozi wahuni, madikteta na wapenda madaraka. kwa maana hiyo bora CCM mara miaM
Ruzuku nzima imetumika kugharamia kesi ,nitakuwa wa kwanza kuitafuta ripoti ya CAG ili nione kodi yangu imetumikaje
 
Back
Top Bottom