IQ ya Nyerere ilikuwa kubwa sana: Debate kati ya Nyerere na mke wa Rais Roosevelt

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,479
51,044
Wakati huo Nyerere alikuwa Yanki tu wa miaka 37 au 38 lakini alikuwa akitema madini ya hatari.

Wanasiasa vijana wa leo mna la kujifunza namna ya kufanya midahalo, solution ni kujisomea sana, kuwa na maarifa mengi.

Ukimsikiliza Mwalimu hapa yaani anatambaa smoothly kabisa na panel ya kwenye huo mjadala bila wasiwasi wowote

Kwanza ana command nzuri ya English, lakini pia ana substance, yaani kichwani yuko vizuri.

No wonder profesa Mazrui wa Kenya aliwahi kusema kuwa kwa Marais wote wa Afrika wa kizazi cha Uhuru, hakuna aliyekuwa Intellectual wa kumfikia Nyerere.

Huyu mzee alikuwa kichwa siyo mchezo!

 
kuna mwanasheria wa chama fulani hapa bongo angetakiwa amsome na kumfahamu vizuri Mwl. Nyerere, pia angejifunza kutoka kwake. kukosa walau hekima ndogo ya Mwl. Nyerere kumemfanya awe...( niishie hapa)
Ukimchukulia mwalimu Nyerere alipatikana Tanzanania tukia hata million 10 hatujafika,Ila sasa tuko milioni 55+ Ila ndio tumepata tulichokipata!Yaani sijui tunakwama wapi kizazi hiki?
 
Niliiangalia hii video awali, Nyerere ana imani za ndani kabisa, halafu kazishikilia.

Kuna mfano wa mtu na koti lake ni lake tu, hata kama linampwaya, kama umemuibia akilidai mrudishie, usianze kusema halimtoshi, aliutoa kwenye hiki kipindi cha Mama Eleanor Roosevelt mwaka 1959.

Nilimsikia Nyerere anaurudia mfano huu huu, hivyo hivyo, miaka mingi sana baadaye.
 
Ifike Mahali ofisi za first Ladies wetu ziandae vipindi redioni na kwenye TV kwa ajili ya mijadala madhubuti ya kuhimiza maendeleo ya wananchi. Ma'first ladies' wetu wahusike moja kwa moja kuendesha vipindi.
===
Mwalimu was a best listener and a best discussant.
 
NYERERE habari nyingine katika dunia hii. Kuliandika tu jina lake akili inasimama
 
huko kwenye debate ndiko walikomuona wakoloni,wakamlea ili wampe nchi kinyume na matakwa yake ya kuwa kiongozi wa dini(why nyerere canonised)..ila usimamizi katika kutekeleza alikua chini sana..labda ile ya kumhakikishia mamla..na ndiyo ugonjwa aliotuachia,mipango mizuri utekelezaji sifuri
 
Kuna mwanasheria wa chama fulani hapa bongo angetakiwa amsome na kumfahamu vizuri Mwl. Nyerere, pia angejifunza kutoka kwake. kukosa walau hekima ndogo ya Mwl. Nyerere kumemfanya awe...( niishie hapa)
Ni Lissu, mkuu! Usihangaike kuficha Identity yake. Tatizo lake ni kutotaka binadamu mwingine akiwa juu yake, bila yeye mwenyewe kujali ubora wake.
 
Back
Top Bottom