Bobi Wine awa Mwanasiasa wa Kwanza Duniani kuja nchini Tanzania ili Kumsalimia Freeman Mbowe baada ya kutoka gerezani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,340
Taarifa zinaonyesha kwamba kiongozi huyo wa chama cha upinzani nchini Uganda , ambaye ndiye chaguo la wananchi wa Uganda ( isipokuwa vyombo vya dola ), amefika nchini Tanzania kwa lengo la kumsalimia Mhanga wa kesi ya uongo ya Ugaidi Freeman Mbowe .

Bobi Wine anafahamika kwa ujasiri wake wa kupambana na Yoweri Museveni , kiongozi wa Uganda aliyechoka na anayeongoza kwa mtutu wa bunduki .

View attachment 2164233

View attachment 2164234
 
Habari mbaya mno hii kwa kina Phillipo Bukililo na jamaa zao
 
Bob wine amemtoroka M7,
Siku yakuapishwa M7 Bob wine alikuwa kizuizuni.
 
Taarifa zinaonyesha kwamba kiongozi huyo wa chama cha upinzani nchini Uganda , ambaye ndiye chaguo la wananchi wa Uganda ( isipokuwa vyombo vya dola ), amefika nchini Tanzania kwa lengo la kumsalimia Mhanga wa kesi ya uongo ya Ugaidi Freeman Mbowe .

Bobi Wine anafahamika kwa ujasiri wake wa kupambana na Yoweri Museveni , kiongozi wa Uganda aliyechoka na anayeongoza kwa mtutu wa bunduki .

View attachment 2164233

View attachment 2164234
Ndege wenye mabawa yanayofanana huruka kwa pamoja. One heart, one mind, one love.

Wakati wa ukombozi ni sasa
 
Back
Top Bottom