DMmasi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 652
- 1,078
Habari wanajamvi
Serikali ilitangaza kuondoa tozo ya TZS 100/= kwenye mafuta sasa wameirejesha tena wakidai bado bei ya mafuta inapanda, Swali ninalojiuliza ni kwamba kuna unafuu gani uliotengenezwa hapo?
Tozo imerudishwa sababu bajeti ilishapitishwa, hili lilipaswa lichukuliwe kama kikwazo chakufikia bajeti iyo AIBU HII
Wanatizama bajeti zao tu wananchi wanashushiwa marungu ya kodi na tozo na bado vitu vinapanda bei serikali inashindwa kujipambanua AIBU HII
Haijasikika siku wakisema wamepunguza posho na mishahara yao (misururu ya viongozi tuu na wanalipwa mishahara eti wilaya ina mbunge, DC na viongozi wa halmashauri) kila mmoja anachombo cha usafiri kinajazwa mafuta na kuna maali wanaenda navyo alafu hawazizimi hizo gari mafuta yanaenda bure rungu nikwa wananchi AIBU HII
Wananchi walio wengi wenye mtaji mdogoo kama wajasiriamali wanao choma chapati na mandazi wamesimamisha biashara zao ila walioko kwenye mfumo wao nikutembeza tuu rungu la kodi na tozoo AIBU HII