Wananchi tuna sababu ya kuwa na mashaka. Diesel na Petrol soko la dunia bei ikipanda serikali inapandisha bei, kwetu vilio.
Kumbe hata tozo ya 100/- tuliyoaminishwa, haikuwahi kuondolewa.
Hivi vipi kuhusu bei ya dhahabu tunayozalisha ambayo bei yake nayo imekuwa ikipanda mfululizo?
Kwanini hakuna afueni yoyote inayotolewa kwetu kama wananchi kwa mapato zaidi dhahabu yetu inapopanda bei?
Double standards hizi wananchi tunaziona.