Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari za uhakika ni kwamba huyo balozi atafikishwa Mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili Wanasema ni wakati akiwa kamishna tra kutumia madaraka vibaya Britannica
6 Reactions
153 Replies
32K Views
Tanzania na anga lake lazima linufaishe watanzania, Habari za jikoni ni kwamba serikali kuna Ukata sasa wanaingia kwenye anga, Ndege zote zinazotumia anga ya Tanzania 1.Emirates 2.Qatar airways...
7 Reactions
153 Replies
17K Views
Tanzania itapata msaada wa mafunzo kutoka nje kwa ajili ya kuwafunza Interpol jinsi ya kuwapata wanaopotosha mtandaoni waishio Ughaibuni. Hii imethibitika kupatikana kwa wataalamu watakaosaidia...
8 Reactions
45 Replies
6K Views
Miaka ya 1974 Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam wakati huo bwana Rwegasira, aliwafukuza wanawake wanaojiuza jijini Dar es salaam, na kuwapandisha magari wahaya waliojiuza kwenda Bukoba na mikoa...
10 Reactions
37 Replies
8K Views
Kabla ya uchaguzi mkuu kuna kamati maalumu ya kuandaa ilani ya Chama cha Mapinduzi, Mzee wetu Steven Masato Wassira anajua kwamba hiyo Ilani tumeyazungumzia yauatayo 1.watumishi hewa 2.kufufua...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Heri ya Mwaka Mpya mkuu wetu wa Nchi Nakusalimu kwa jina lake Bwana Yesu Kristo, neno la kusoma pitia Mwanzo 31:8 Nina Imani mwaka huu mkuu utakuwa mwaka mwema na wenye matumaini kwa watanzania...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Hawa ndo wale ambao Magufuli alisema ndo wamempa kura na ndo amehapa kuwalinda Anawapenda sana ndo maana anasisitiza wawe na vitambulisho
0 Reactions
18 Replies
2K Views
katika mahojihano Pole pole amesema haya Chama cha mapinduzi kina utaratibu wa kupokea wanachama ambapo tunajadili kwenye vikao vya chama , na huyo mtu wako unayemsema hana sifa za kuwa mwanachama...
1 Reactions
29 Replies
9K Views
Taifa hili linashindwa kulinda mali asili yake ndio maana katika miongo kadhaa iliyopita Tanzania imekuwa kinara wa usafirishaji wa meno ya tembo,twiga hai,chui hai na jamii ya reptilia kama...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Ni mtu asiyejali au mpuuzi asiyezijua vyema siasa za Tanzania anayeweza akasimama na kuudharau uteuzi uliofanywa na Rais Kikwete ambaye baada ya kushindwa mara kadhaa hatimaye amefanikiwa...
5 Reactions
310 Replies
24K Views
KADA maarufu na mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema hahusiki na usafirishaji wa meno ya tembo nje ya nchi, ikiwa ni siku moja tu tangu gazeti moja la...
8 Reactions
568 Replies
71K Views
Unapotamani mfanyakazi wa hospitali a-smile kwa mgonjwa kuna mambo mengi sana lazima afanyiwe kabla ya kukutana na wagonjwa. Miongoni mwa mambo hayo ni mahali pa kuishi karibu na hospitali...
17 Reactions
75 Replies
7K Views
Kumekuwa na tabia yetu kulalamika kwa kila jambo! Tulalamike lakini tutoe na Suluhu Mpaka Sasa Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ipongezwe walau kwa 40% ya Mambo imeyafanya kwa...
0 Reactions
6 Replies
729 Views
Machi 1995 mwaka wa uchaguzi, Augustine Mrema aliondoka CCM akasema atagombea urais upinzani. Julai 2015 miezi michache kabla ya uchaguzi Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu aliondoka CCM akatangaza...
8 Reactions
66 Replies
7K Views
Habari yenu wana janvi.., Kwa wale wanaoona hali ya maisha kuwa ngumu kila kukicha tupeane pole maana kuna wale wateule hawajawahi ona tatizo la ugumu wa maisha. Kwa ujumla huku kwetu mambo...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii Dunia ni ndogo sana hawa DKT BASHIRU ALLY na POLEPOLE walifikiria watakuwa viongozi wa maisha. Ilifika wakati walikuwa wanatoa hongo na kununua wapinzani hasa wabunge na madiwani. Waliahidi...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Nimefuatilia kwa miaka mingi sana, kuna ukanda unahisi unatengwa, hawajatoa rais, na wana kiu sana ya kupata rais wa kutoka ukanda wao. wamesahau wamewahi toa mawaziri wakuu wawili. Ukanda...
1 Reactions
2 Replies
573 Views
Hahahaha! Guys, in politics just watch your fu^king a.ss.es Yaani hivi kweli kikosi cha ushindi 2015 kimevurumushwa chote? You must be kidding joe! Hahahaha !!!! Just comment hahahahaha kama...
10 Reactions
69 Replies
11K Views
Napendekeza sanamu ya Mzalendo namba 2 nchini baada ya Mwalimu Nyerere yaani hayati Magufuli iwekwe kwenye daraja la Tanzanite baada ya ule Mwenge kuondolewa. Ichongwe sanamu ya Magufuli akiwa...
13 Reactions
74 Replies
4K Views
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeeleza kuwa Sh140 milioni ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii iliilipa kampuni ya Wasafi hazikuwa na mkataba wowote uliosainiwa...
13 Reactions
73 Replies
9K Views
Back
Top Bottom