Hakika vijana walitukosea sana, waliongoza taasisi ama nafasi zao kwa mihemuko bila kufuata taratibu. Hii siyo kwamba vijana hawafai kupewa madaraka la hasha Bali vijana wengi walioaminiwa na...
John Perkins, kachero wa National Security Agancey (NSA) ya U. S anasimulia jinsi ambavyo US huzifanyia nchi masikini duniani ili kuweza kuzinyonya na kupata rasilimali zake. Katika kitabu chake...
2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze...
Baadhi ya wananchi wanaoishi eneo la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) wamesema 'kiburi' walichonacho viongozi wa vijiji, wazee wa mila wa jamii ya wafugaji wa Kimasai na baadhi ya...
Wanabodi,
Mjadala wa TBC kusitisha matangazo ya moja kwa moja, live ya vikao vya bunge unaendelea asubuhi hii Star TV.
Miongoni mwa waalikwa ni Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe...
Umekuwa nasi bega kwa bega. Hakuna kipindi kama cha awamu ya tano ambacho sisi wafanyabiashara wakubwa tuliishi kwa wasiwasi na mashaka
Hili la kuwajulisha watanzania kuwa vitu vitapanda bei...
Nadhani wote tunashuhudia namna wabunge wanavyolinda na kupiga kelele zinapotajwa posho na maslahi Yao. Ni mashuhuda kwamba Mzee Pinda linapokuja suala la ufugaji wa nyuki yupo radhi afunge safari...
Hili ni swali maalumu kwa Bavicha.
Katika chama cha Demokrasia na chenye kuhubiri maendeleo ya watu kama Chadema tunategemea wanachama wake kuwa huru katika kugombea, kuchaguliwa na kumpigia kura...
TAARIFA KWA UMMA:
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo ametilia mkazo umuhimu wa Kilimo Biashara kwa kuondokana na kilimo tumbo yaani kilimo kwa ajili ya chakula pekee...
Amani iwe nanyi,
Habari kuu kwa sasa duniani ni kupanda kwa bidhaa adimu kutokana na vita vinavyoendelea vya Russia v Ukraine.
Bidhaa adimu kama mafuta na Gesi zinazidi kupanda kwa kiwango cha...
Leo Ewura wamaetoa jedwali la bei ya mafuta kwa baadhi ya nchi za Africa, Ulaya na US .
Nadhani lengo lao kubwa ni kuwaandaa watanzania na ongezeko la bei ya mafuta linalotarajiwa kitangaza kesho...
Kwakuwa suala la maendeleo halisubiri muda, na kiongozi wa taifa Rais Samia alisema wazi kwamba hatuwezi kwenda tofauti na dunia inavyotaka. Swali lililopo kwa sasa, kuhusiana na ugawaji na...
Baada ya kuangazia makundi ya watu wanaochukia utawala wa Rais Samia sasa ni zamu ya makundi yanayoridhishwa ama kufurahishwa na utawala wake.
1. WAFANYABIASHARA
Katika kipindi cha miaka mitano...
Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anategewa kuwa mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa kitabu Cha maisha ya rais wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi al maaruf Mzee...
Naomba kuwaasa wana CCM wote Nchini.
Mkitaka kufeli kila kitu, endeleeni kujaribu kumdhihaki JPM
Watanzania hawa wa sasa si wajinga kama mnavyodhani. Wanajua kazi aliyoifanya JPM vizuri sana...
Nimesikia hivi karibunI serikali ya CCM inatwagawia maafisa ugani nchi nzima vifaa vya usafiri na kupimia afya ya udongo. Hapa mmegusa maisha ya watanzania walio wengi
Nakumbuka kipindi kile walimtosa mpinzani mwenzao Raila na kumuunga mkono Uhuru Kenyatta tena nakumbuka mzee Lowassa alifunga safari mpaka Kenya kwenda kuwashawishi wamasai wamuunge mkono Uhuru...
Katika siasa ni kawaida kabisa kila Rais anayeingia madarakani kukubalika ama kutokukubalika na makundi mbali mbali ya watu.
Kadhalika, Rais anapokuwepo madarakani huwa na mema yake na madhaifu...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisoma mabango yenye ujumbe mbali mbali wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano wa Sokoine,kulia kwake ni Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tabora Munde...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.