Mayatima na wajane mkoa wa Dodoma waandaa dua maalum ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan

Jaji Tz

Member
Feb 16, 2015
33
19
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ameshiriki katika dua Maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan katika ukumbi wa PSSSF mkoani Dodoma (leo) Jumapili tarehe 03 April 2022.

Dua hiyo iliyotanguliwa na mashindano ya Qur'an na baadae kufuatiwa na Iftari maalum imehudhuriwa pia na mashekhe, viongozi mbali mbali pamoja na wananchi kutoka wilaya zote za Mkoa huo.

Dua hiyo aliyofanyiwa Rais Samia ni kuadhimisha mwaka mmoja tokea kuweko madarakani na kumuombea ili aendelee kuwatumikia na kuwaunganisha watanzania.

#RamadhanMubarak
#KaziIendelee.

IMG-20220403-WA0058.jpg
IMG-20220403-WA0061.jpg
IMG-20220403-WA0057.jpg
IMG-20220403-WA0059.jpg
 
Hakuna namna nyingine ya kuwaita zaidi ya MAYATIMA. Kama ni jambo la heri Mwenyezi Mungu alipokee na kulibarika
 
kumuombea mtu asiyewajali, ni kupoteza muda tu na kujipendekeza

mwenzenu

yuko bize analinda kiti chake 2025
 
Back
Top Bottom