Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
Habari wadau,

Mwishoni mwa mwezi 5 mwaka huu CHADEMA kupitia Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walitangaza kuanza ziara nchi nzima za kufufua chama na kusaka wanachama wapya.

Unaenda mwezi wa pili sasa Mbowe alishazunguka kanda nyingi lakini hakuna kanda hata moja walipoonekana wakipokea Wanachama wapya wala kurudisha kadi! Kulikoni?

Hata sehemu ambazo walilazimisha maandamano wameonekana wakiandamana peke yao bila wananchi kuwaunga mkono, kulikoni?
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli inawatafuna?

Ngoja tuone.
 
Back
Top Bottom