Elite class ya Tanzania ni watu wasiozidi elfu hamsini na ndio wafaidika wakuu wa keki ya taifa
Wameshika nyanja zote za uchumi na kitovu chake kikuu ni kamati kuu ya chama cha mapinduzi.
Wote hawa hawana njaa na hakuna mtoto anaetoka kwenye hii class akasoma kayumba school au akakosa ajira akimaliza chuo na huwezi kukuta wanakaa sehemu ambazo umeme na maji ni changamoto
Na wameweka vikwazo kibao kwa watu wasiotoka kwenye class yao kujikwamua kiuchumi, ndio maana ukianzisha kabiashara kadogo unakutana na lundo la tozo za vibali.
Ndio maana wengine wameamua kuwa chawa tu ilimradi waingie kwenye hiyo class, mfano halisi ni bashite amejipenyeza penyeza mpaka kaingia ndani ya system na leo inamfaidisha kwa kumlinda kwa madudu aliyofanya