Kinana: CCM ni kubwa kuliko Serikali

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,629
9,175
"Kasema CCM sio chombo cha serikali, CCM haitokani na Serikali, ila Serikali zote mbili (Tanzania na Zanzibar) zinatokana na CCM, CCM haipokei maagizo kutoka Serikalini, ila Serikali inapokea maagizo kutoka CCM, hii ni kupitia ilani na sera zilizotungwa na viongozi mbali mbali wa Serikali!"

Huu ni ujumbe mzito samaa kwa team sukuma Gang

Hapa naona kuna watu wanaenda kunyooshwa
 
Inawezekana Kinana pia anamaanisha mwenyekiti amewekwa mfukoni na "wajanja wa mjini" ila yeye kwa nje anamaanisha chama ndio kina nguvu kuizidi serikali.

On the other side, alichokisema kinaweza kuwa sawa, au kinyume chake pia ikawa sawa, kwasababu pande zote mbili zinaongozwa na mtu mmoja, na hakuna wa kumpinga toka upande wowote, wote humshangilia hata akiwagombeza.
 
"Kasema CCM sio chombo cja serikali, CCM haitokani na Serikali, ila Serikali zote mbili (Tanzania na Zanzibar) zinatokana na CCM, CCM haipokei maagizo kutoka serikalini, ila serikali inapokea maagizo kutoka CCM, hii ni kupitia ilani na sera zilizotungwa na viongozi mbali mbali wa serikali!"

Huu ni ujumbe mzito samaa kwa team sukuma Gang

Hapa naona kuna watu wanaenda kunyooshwa
Hawa watajuana wenyewe na mambo yao siye letu ni moja tuu TUNATAKA KATIBA MPYA
 
Wakati wa jiwe serikali ilikuwa na mkono mrefu sana hadi huko chamani
Huko chamani Jiwe alikuwa akiingia kama Rais wa nchi (mkuu wa serikali) ama kama Mwenyekiti wa chama?????

Hivi Rais akiamua kutokuifuta ilani ya chama chake wala kuwasikiliza kwa chochote, je, chama kina meno gani juu yake. Maana nikiiangalia Katiba ya nchi sioni chama kikitajwa katika yale mambo yanayoweza kumuondoa Rais madarakani.

JESUS IS LORD!
 
Kinana anaingia na gia kubwa lakini atatulizwa...Watanzania sio wajinge tena

Enzi zake alitamba lkn nyakati zimebadilika.
Ikiwa JPM alivimbiwa hadi akaanza kutumia risasi naye ajiandae

..Ssh akianza kutumia nguvu kama Jpm hakuna ktk Ccm au upinzani atakayeweza kumrudisha ktk njia ya haki.
 
Huko chamani Jiwe alikuwa akiingia kama Rais wa nchi (mkuu wa serikali) ama kama Mwenyekiti wa chama?????

Hivi Rais akiamua kutokuifuta ilani ya chama chake wala kuwasikiliza kwa chochote, je, chama kina meno gani juu yake. Maana nikiiangalia Katiba ya nchi sioni chama kikitajwa katika yale mambo yanayoweza kumuondoa Rais madarakani.

JESUS IS LORD!
Katiba inasemaje kuhusu raisi aliyekataliwa na chama chake na kuvuliwa uanachama?
 
Back
Top Bottom