Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Moja kwa moja kwenye mada. Mbunge wa Ubungo Prof. Kitila Mkumbo ameishauri Serikali kuchukua hatua zisizo za Kawaida Kuhusu kupanda bei za mafuta. Akichangia hotuba ya Waziri Mkuu,Kitila amesema...
0 Reactions
45 Replies
3K Views
Mbunge wa Ubungo, Kitila Mkumbo amesema serikali za mtaa hazishauri serikali kuu kama ilivyopangwa badala yake zinapokea maelekezo kutoka serikali kuu. Wananchi wanabaki kushangilia mafanikio ya...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni. Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa...
21 Reactions
125 Replies
19K Views
Mbunge wa Sengerema Mh Tabasamu amesema tenda za mafuta wangepewa TPDC na Puma ambako serikali ina hisa zake basi bei ya mafuta isingepanda kwa kiasi ilichopanda. Tabasamu amesema waagizaji wa...
13 Reactions
47 Replies
4K Views
Kila chama cha siasa kiwe na Tume Huru ya Uchaguzi huko ndani ya vyama kuna madudu yako kibao huko. Upinzani huko ndiko balaa. Waunde tume huru za uchaguzi ndani ya vyama vyao. Vyeo vingine...
1 Reactions
13 Replies
881 Views
Akichangia hotuba ya bajeti ya ofisi ya Waziri mkuu mh Shabiby anasema wakati wafanyabiashara ya mafuta wanachakachua kwa kuchanganya diesel na mafuta ya taa alipiga sana kelele bungeni na...
0 Reactions
3 Replies
606 Views
HABARI WAKUU, Nimekuwa nikijiuliza hili swali Mara nyingi sana na majibu nilliyokuja kuyapata hakika MTU anaeitwa Tajiri wanapesa nyingi sana, nimegundua hili zaman katika harakati za kutafta...
8 Reactions
48 Replies
6K Views
VIJANA NA UCHAGUZI NDANI YA CCM NA UVCCM 2022 Na Victoria Charles Mwanziva (Katibu idara ya uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa) Chama cha Mapinduzi CCM kinaheshimika na kufahamika kwa mfumo...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Baada ya Mataifa makubwa dunia Marekani na Ulaya kuamrisha Afrika iseme msimamo wake na ilaani oparesheni ya Urusi huko Ukraine. Tanzania imetoa kauli ya kwamba sisi HATULAANI, wala HATUUNGI MKONO...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanabodi I declare my option sishangilii matokeo ya matukio yaliyotokea kwenye utabiri wa God bless Lema. Lema aliota ndoto nayo kweli ikaja kutokea JPM akafariki kweli. Mwaka haujaisha alimpigia...
7 Reactions
34 Replies
5K Views
Wanabodi, Katika kipindi hiki ambacho bajeti imeanza kujadiliwa bungeni, ni vyema kutathmini majukumu ya serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo na jinsi ambavyo wanasiasa wanahusika katika...
1 Reactions
3 Replies
731 Views
Kwa sisi tuliofatilia hali ya kisiasa na kijamii kuanzia kuingia kwake madarakani 2015 na uchaguzi wa muhula wa pili 2020 tulijua kabisa na kubashiri janga linaloenda kuikabiri nchi yetu. Kwa...
26 Reactions
132 Replies
9K Views
Awali ya yote nipende kuwashukuru, Siku ya leo Nimepata maswali kidogo mara Baada ya DHL kunipa invoice ya 33% ya bei ya bidhaa (Import Duty Tax) ya Tarakilishi mpakato ama Computer, Nilijaribu...
0 Reactions
6 Replies
934 Views
INAHITAJIKA MIAFAKA siyo MUAFAKA. Kuna harufu ya mparaganyiko kila mahali. Ni kama tuna nchi moja yenye mataifa mengi ndani yake. Badala ya muafaka wa kitaifa, inahitajika miafaka kadhaa ili...
3 Reactions
3 Replies
737 Views
Chama cha mapinduzi kilikuwa na shule nyingi ma mali nyingi tu zilizokuwa chini ya jumuia ya wazazi. Abadala Bulembo na wakora wenzake ndani ya CCM wakazitafuna na kujaza matumbo yao. Leo hii...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Tunajua kuna "WALAMBA ASALI" watakaotumika ili kukukatisha tamaa juu ya maamuzi uliyoamua kuyachukua kwa kuwa upande wa wanyonge dhidi ya walamba Asali wa nchi hii. Tunawaona wengine humu kila...
30 Reactions
152 Replies
7K Views
Mpina ang’aka sakata la kumiliki eka 1,000 Moro Morogoro/Dar. “Acheni majungu.” Hiki ndicho alichojibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za kumiliki eka...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa hatuhitaji magumashi katika kuendesha shughuli zetu binafsi na zile za Serikali. Kulikoni kununua mafuta ya kidebe huko baharini basi ni heri mumuombe Asas awauzie...
4 Reactions
45 Replies
3K Views
Leo katika kusikiliza hotuba mbalimbali za viongozi na wanafamilia waliohudhuria kumbukumbu ya mwaka mmoja wa JPM nimemsikiliza mama Janeth Magufuli akitoa kauli hii "Napenda kumshukuru Rais...
39 Reactions
227 Replies
14K Views
Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amesema katika Jimbo lake, Askari wa Maliasili wamekuwa na tabia ya kukamata watu na kuua akihoji, "Miongozo inaruhusu kumkamata Mtu na kumuua?" Hata hivyo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom