voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,943
Tunajua kuna "WALAMBA ASALI" watakaotumika ili kukukatisha tamaa juu ya maamuzi uliyoamua kuyachukua kwa kuwa upande wa wanyonge dhidi ya walamba Asali wa nchi hii.
Tunawaona wengine humu kila Mkemea maovu dhidi ya wanyonge anaishia kuitwa "Sukuma Gang"
Wewe kazia uliposimamia "UKWELI" daima,hujitenga na "UONGO"
Usiwasikilize bali sikiliza wale waliokutuma Bungeni.
Pia tumekwisha waona baadhi ya wazee wa kihuni ndani ya Chama wakianza Press Comference za kutetea Midomo na Matumbo yao.
Sababu wanalamba Asali kupitia teuzi za watoto wao!
Hao tumewazoea na tunawajua na ndio haohao waliowahi kuifelisha CCM hadi wakiuza hata shule za wanyonge.
Lakini leo hii wanajitokeza kama mashujaa,tena wakijisifia kuimiliki CCM.
Mpina umeamua maamuzi magumu lakini katika kipindi muhimu zaidi.Tunajua silaha kubwa ya walina Asali huwa ni "Moto".
Hivyo basi tambua kuwa unapoamua kuingia msituni dhidi ya walamba Asali.
Vema pia ujizatiti kwa kujihadhari zaidi na moto kutoka kwa Wale walina Asali na Moto wao wa "Jinaba"
Umeamua kupigana vita na kundi ambalo halipo kwa maslahi ya wanyonge,bali kwa maslahi yao na koo zao.
Kwa kuwa Kundi kubwa la wabunge wa CCM,wameamua kuwatelekeza wananchi na wapiga kura wao.
Sababu ya tamaa ya teuzi kwa maslahi yao binafsi.
Wewe simama na "Haki" na hili litaonyesha majibu ambayo yatawashangaza walina Asali.
Labda wajirekebishe.
La sivyo itakuwa suala la Muda tu.umeanza kama peke yako....lakini muda utaongea na Mungu atasimama upande wa wengi!
Sisi watafuta Sembe tuko na wewe........
Maamuzi yoyote ya kukufunga mdoma kwa hila Ovu yatawaumbuwa Soon!
commonmwananchi
10101.