init
Senior Member
- Mar 22, 2021
- 114
- 107
Awali ya yote nipende kuwashukuru,
Siku ya leo Nimepata maswali kidogo mara Baada ya DHL kunipa invoice ya 33% ya bei ya bidhaa (Import Duty Tax) ya Tarakilishi mpakato ama Computer,
Nilijaribu kurejea Hotuba ya Mh Nape,Tarehe 14 ya mwezi Marchi katika maadhimishi ya Wizara ya Teknolojia ya Habari na mawasiliano.
Tafadhali Rejea pia:
Ambapo alisema Serikali Katika Bunge lililopita ilifuta Ushuru wa kuingiza Vifaa vya Kieletroniki ikiwemo Computers.
Je ikiwa serikali imefuta ushuru huo na DHL kunipa invoice ya 33% ya bei ya bidhaa inamaana gani kati ya haya yafuatayo:
Na ikiwa DHL wanatuibia, ninaomba msaada wa andiko elekezi lililo rasmi (TRA au wizara) kuhusu kufutwa au ushuru elekezi kwenye bidhaa hizo.

- Mh Nape alidanganya ?.
- Mh Nape Alisema kweli ila Serikali husema na kutekeleza vingine ?.
- Mh Nape alisema sawa na ndivyo ilivyo ila DHL wanatuibia ?.