Nchi nzima wananchi wameongeza chuki dhidi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,905
44,018
Kwa sisi tuliofatilia hali ya kisiasa na kijamii kuanzia kuingia kwake madarakani 2015 na uchaguzi wa muhula wa pili 2020 tulijua kabisa na kubashiri janga linaloenda kuikabiri nchi yetu.

Kwa sisi tulioona na kushuhudi uhuni ule wa uchaguzi, matumizi mabaya ya fedha kudhibiti Haki na demokrasia nchini tulijua kabisa baada ya uchaguzi hali ya kiuchumi itakuwa mbaya sana. Nyote ni mashuhuda sasa.

Nchi nzima si wanaccm, chadema wala Chauma. Si wanasiasa hadi wasio na siasa wote wameichukia ccm hasa iliyokita mizizi na fikra za John Pombe magufuli, fikra za kikandamizaji.

Kwa wale tuliosikia zile tetesi kwamba Hayati alikodisha vikosi vya cyber kuja kuchakachua mifumo mingi ya kiteknolojia na internet ili kurahisisha mazingira ya kushinda uchaguzi tuliwaza kabisa kuwa kama ni kweli hizo pesa anazowalipa zinatoka wapi? au ndio amekomba pesa zote za hazina? Kuna wengine wanafika mbali na kusema huenda pesa alizokopa world bank na Uchina kwa ajili yanujenzi wa SGR na Stigler ndio hizo zilitumika ktk mikakati michafu ya uchaguzi october 2020 na hivyo tunalipa ghalama.

Sasa Awamu ya sita imetuchanganya. Huwezi kumjua Mpiga mapambio wa zamani na mpinzani wa zamani. Wote wamekuwa kitu kimoja. Adui wao amekuwa mmona tu, naye ni CCM.

Asante sana CCM kwa kutuunganisha. Sasa ongeza na tozo zingine ili tujenge nchi kwa haraka zaidi.

CCM nambali one.
 
Hakuna kipindi maisha yameshakua maraisi toka karne ya 1 mpk sasa. Walioishi karne ya 1,2,3... na wenyewe walilia kwa nyakati zao.
Juzi tu watu walikua wanalia lia,oooh Magu kabana,leo tena bado kilio ni kilekile.

Kitaumana na kuendelea kuumanika tu hata aje nani.
 
Walisema mwendazake amewatesa matajiri,sasa matajiri wanapeta hakuna wa kuwakamua.
Ni zamu za masikini sasa,kufidia gap lililoachwa na matajir.
Tusilie ,tuendelee na mtori maana nyama zipo chini.
Juzi watu walikua wanalia lia oooh Magu kabana,mpk alipokufa wengine wakawa wanasema huku wakifurahi Magu kafa hela itakua nyingi mtaani.

Ila bado watu wananyooka tu. 😂😂😂😂
Dunia haijapata kua na maisha mteremko hata nyakati moja.

Kuumanika kupo tu na kutaendelea kuwepo
 
Vijana wa bavicha ni wajinga sana,!
.
Mlikuwa mnasema Magufuli amewabana na juzi tu haoa nkawa nnafurahia kifo chake mkisema mnapumua!

Alafu ukome kutujumlisha wote! Mimi siyo miongoni mwa hao raia unaosema! Utusitusemee tafadhali
 
Hapana mzee. Mama kaibgizwa chaka. Hii bajeti ni ya mwenda zake pesa alitapanya kwa kuhonga ashinde uchaguzi. Ziliisha na haya ndio madhara yake
Unaelewa hata nazungumzia kitu gani?

Unaelewa kuwa huko Mwanza leo Chadema wamezuiwa kwa virungu kufanya mkutano wao wa ndani wa mambo ya katiba ambao ni haki yao ya kikatiba na mpaka sasa hivi watu 128 wamekamatwa na kuwekwa ndani wakati Shaka anachanja mbuga kufanya mikutano ya hadhara?

Narudia tena,waliokuwa wanaiita takataka kuwa ni 'Mama' shame on you!
nw8X.jpg
 
Kwa sisi tuliofatilia hali ya kisiasa na kijamii kuanzia kuingia kwake madarakani 2015 na uchaguzi wa muhula wa pili 2020 tulijua kabisa na kubashiri janga linaloenda kuikabiri nchi yetu.

Kwa sisi tulioona na kushuhudi uhuni ule wa uchaguzi, matumizi mabaya ya fedha kudhibiti Haki na demokrasia nchini tulijua kabisa baada ya uchaguzi hali ya kiuchumi itakuwa mbaya sana. Nyote ni mashuhuda sasa.

Nchi nzima si wanaccm, chadema wala Chauma. Si wanasiasa hadi wasio na siasa wote wameichukia ccm hasa iliyokita mizizi na fikra za John Pombe magufuli, fikra za kikandamizaji.

Kwa wale tuliosikia zile tetesi kwamba Hayati alikodisha vikosi vya cyber kuja kuchakachua mifumo mingi ya kiteknolojia na internet ili kurahisisha mazingira ya kushinda uchaguzi tuliwaza kabisa kuwa kama ni kweli hizo pesa anazowalipa zinatoka wapi? au ndio amekomba pesa zote za hazina? Kuna wengine wanafika mbali na kusema huenda pesa alizokopa world bank na Uchina kwa ajili yanujenzi wa SGR na Stigler ndio hizo zilitumika ktk mikakati michafu ya uchaguzi october 2020 na hivyo tunalipa ghalama.

Sasa Awamu ya sita imetuchanganya. Huwezi kumjua Mpiga mapambio wa zamani na mpinzani wa zamani. Wote wamekuwa kitu kimoja. Adui wao amekuwa mmona tu, naye ni CCM.

Asante sana CCM kqa kutuunganisha. Sasa ongeza na tozo zingine ili tujenge nchi kwa haraka zaidi.

CCM nambali one.
Wewe sema wanaufipa ndo mnachuki na maendeleo ya taifa lenuuu.
 
Mwandishi hujui tofaut ya r n l
 
Hakuna kipindi maisha yameshakua maraisi toka karne ya 1 mpk sasa. Walioishi karne ya 1,2,3... na wenyewe walilia kwa nyakati zao.
Juzi tu watu walikua wanalia lia,oooh Magu kabana,leo tena bado kilio ni kilekile.

Kitaumana na kuendelea kuumanika tu hata aje nani.
Hivi baada ya mapinduzi ya ufaransa mbona maisha yao yalirudi kuwa mazuri.
Fanya utafiti kabla ya kuandika CCM wewe
 
Kama ni mazuri nenda sasa,Kwa nini upo hapa Tz.

Umesoma histori huko unaamini amini tu.ndio maana mnaburuzwa tu.
 
Back
Top Bottom