Kwenye utabiri wa Lema bado Spika Ndugai tu

onjwayo

JF-Expert Member
Apr 8, 2020
1,135
2,000
Wanabodi I declare my option sishangilii matokeo ya matukio yaliyotokea kwenye utabiri wa God bless Lema. Lema aliota ndoto nayo kweli ikaja kutokea JPM akafariki kweli. Mwaka haujaisha alimpigia Sabaya simu akamuonya aache ubabe.....Sabaya akaendeleza leo hii amebakiza miaka 29 na siku 263 gerezani.

Nasema sishangilii lakini maneno aliyoyatamka Lema kulaani matendo ya kina Sabaya kila mwenye masikio na ayasikie. Ni maneno mazito , Ni maneno yanayohitaji sisi wenye teuzi na kura za wananchi kutafakari. Lema Ni binadamu na huenda anayo mapungufu makubwa na yeye Kama binadamu wengine, lakini kikubwa alioongea kwa hisia akimtanguliza Mungu . Kumbe Mungu huyu ndiye anakosewa sisi wenye mamlaka tunapojifurahisha kuridhisha mamlaka za teuzi zetu au baada ya sisi kupata na kujaribu kuonekana miungu watu.

Shida ya Sisi binadamu tunasahau kuwa pale tunakula kiapo tunamtanguliza Mungu . Je, Ni Mungu yupi atakufurahia wewe tu uwatese wenzako na akunyamazie tu. Je, Ni Mungu yupi ambaye yupo kwa ajili ya kutimiza furaha zako wewe tu ? Bila shaka Mungu Ni wa wote hivyo tujitahidi Sana kuwatendea wenzetu sawa tunavyowaza na sisi kutendewa.

Kwa Nini tuwapachike wenzetu vyesi na kuwatakia vifungo virefu jela na kuacha familia zao wabaki kutaabika. Familia zilizoko kwenye maombi na hata wale ambao Mungu huwanyanyua kamwe , Bwana hayatuhusu shida ziwapate kwa furaha za wapuzi wachache. Mungu ibariki Tanzania
IMG_20211017_101020.jpg
IMG_20211017_101024.jpg
 
Bengal

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
6,501
2,000
Wanabodi I declare my option sishangilii matokeo ya matukio yaliyotokea kwenye utabiri wa God bless Lema. Lema aliota ndoto nayo kweli ikaja kutokea JPM akafariki kweli. Mwaka haujaisha alimpigia Sabaya simu akamuonya aache ubabe.....Sabaya akaendeleza leo hii amebakiza miaka 29 na siku 263 gerezani.
Nasema sishangilii lakini maneno aliyoyatamka Lema kulaani matendo ya kina Sabaya kila mwenye masikio na ayasikie. Ni maneno mazito , Ni maneno yanayohitaji sisi wenye teuzi na kura za wananchi kutafakari. Lema Ni binadamu na huenda anayo mapungufu makubwa na yeye Kama binadamu wengine, lakini kikubwa alioongea kwa hisia akimtanguliza Mungu . Kumbe Mungu huyu ndiye anakosewa sisi wenye mamlaka tunapojifurahisha kuridhisha mamlaka za teuzi zetu au baada ya sisi kupata na kujaribu kuonekana miungu watu.
Shida ya Sisi binadamu tunasahau kuwa pale tunakula kiapo tunamtanguliza Mungu . Je, Ni Mungu yupi atakufurahia wewe tu uwatese wenzako na akunyamazie tu. Je, Ni Mungu yupi ambaye yupo kwa ajili ya kutimiza furaha zako wewe tu ? Bila shaka Mungu Ni wa wote hivyo tujitahidi Sana kuwatendea wenzetu sawa tunavyowaza na sisi kutendewa. Kwa Nini tuwapachike wenzetu vyesi na kuwatakia vifungo virefu jela na kuacha familia zao wabaki kutaabika. Familia zilizoko kwenye maombi na hata wale ambao Mungu huwanyanyua kamwe , Bwana hayatuhusu shida ziwapate kwa furaha za wapuzi wachache. Mungu ibariki Tanzania View attachment 1977185 View attachment 1977186
Mungu aendelekutenda kulingana na mahitaji, hata awaguse wote na utukufu wake upate kudhihirika Kwa wanadamu wote.
 
Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
7,401
2,000
Lema sio mtabiri Wala karama hiyo Hana. Ila anaongea kutokana ña matukio.
Mfano mtu unatembea na changudoa bila kondom, Lema akikuambia utakufa utasema Ni mtabiri. Au akisema ndugu-yai anajichimbia kaburi kwa kuwakubali covid 19 utasema Ni mtabiri.
 
manchoso

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
1,585
2,000
Mbona kichwa cha habari na habari yenyew vinakinzana

Alietajwa kwenye kichwa cha habari hajatajwa kwenye habari, alietajwa kwenye habari hajatajwa kwenye kichwa cha habari

Ndugai alitabiriwa nini na lema hiyo ndo ilitakiwa iwe habari kuu ya andiko lako

wana jf siku hizi mmekuwa kama magazeti ya shigongo
 
onjwayo

JF-Expert Member
Apr 8, 2020
1,135
2,000
Lema sio mtabiri Wala karama hiyo Hana. Ila anaongea kutokana ña matukio.
Mfano mtu unatembea na changudoa bila kondom, Lema akikuambia utakufa utasema Ni mtabiri. Au akisema ndugu-yai anajichimbia kaburi kwa kuwakubali covid 19 utasema Ni mtabiri.
Nakusikilizia
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
89,738
2,000
Wanabodi I declare my option sishangilii matokeo ya matukio yaliyotokea kwenye utabiri wa God bless Lema. Lema aliota ndoto nayo kweli ikaja kutokea JPM akafariki kweli. Mwaka haujaisha alimpigia Sabaya simu akamuonya aache ubabe.....Sabaya akaendeleza leo hii amebakiza miaka 29 na siku 263 gerezani.

Nasema sishangilii lakini maneno aliyoyatamka Lema kulaani matendo ya kina Sabaya kila mwenye masikio na ayasikie. Ni maneno mazito , Ni maneno yanayohitaji sisi wenye teuzi na kura za wananchi kutafakari. Lema Ni binadamu na huenda anayo mapungufu makubwa na yeye Kama binadamu wengine, lakini kikubwa alioongea kwa hisia akimtanguliza Mungu . Kumbe Mungu huyu ndiye anakosewa sisi wenye mamlaka tunapojifurahisha kuridhisha mamlaka za teuzi zetu au baada ya sisi kupata na kujaribu kuonekana miungu watu.

Shida ya Sisi binadamu tunasahau kuwa pale tunakula kiapo tunamtanguliza Mungu . Je, Ni Mungu yupi atakufurahia wewe tu uwatese wenzako na akunyamazie tu. Je, Ni Mungu yupi ambaye yupo kwa ajili ya kutimiza furaha zako wewe tu ? Bila shaka Mungu Ni wa wote hivyo tujitahidi Sana kuwatendea wenzetu sawa tunavyowaza na sisi kutendewa.

Kwa Nini tuwapachike wenzetu vyesi na kuwatakia vifungo virefu jela na kuacha familia zao wabaki kutaabika. Familia zilizoko kwenye maombi na hata wale ambao Mungu huwanyanyua kamwe , Bwana hayatuhusu shida ziwapate kwa furaha za wapuzi wachache. Mungu ibariki Tanzania View attachment 1977185 View attachment 1977186
Una kumbukumbu nzuri sana !
 
MKANDAHARI

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
4,453

"Sabaya akaendeleza leo hii amebakiza miaka 29 na siku 263 gerezani"
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom