Anasafiri kwa baiskeli kutokea Tunduma kuja kusikiliza kesi ya Freeman Mbowe Dar es salaam!

ETA Dar liniii..?
kama ni baada ya 14th dec afadhali avunje safari yake.
Sababu...
Mama hakubali kuangushiwa gari bovu.
Mama ameapa kutendea wananchi haki.
Mambo ya hovyo yamekuwepo ktk awamu zilizopita.
Hayo pamoja na mengine Mama anafuta kesi 14th dec

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Jonas Akandunduma anasafiri kwa baiskeli kutokea Tunduma kuja kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe jijini Dar es salaam...
John siuhamie tu huku, kwani huku kumenoga, unakupenda ila unawaonea haya wenzio, isikilize nafsi Yako, itendee haki.Karibu ujipatie kadi Yako ya chadema digital, zipo kulingana na mahitaji ya Kila mo ja kwa chama chake pendwa.
 
Back
Top Bottom