Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 544
- 747
Wakuu bado namtafuta mrithi wa Maalim Seif wa kupambania Zanzibar yenye mamlaka sahihi simuoni.
Huyu Makamu aliyerithi kiti naona hana upepo wa kisiasa na Juma Duni Haji ni kama ameshapoteza Dira na kafilisika kihoja.
Mtu pekee ninayeona kidogo anaweza kuendeleza mapambano ni Jussa ila hicho Chama walichoingia ni mashaka matupu na Kiongozi wao ndiyo hivyo tena Mashaka matupu pia.
Nimejiona anajitutumua hata kwenye hili la Katiba Mpya kaungana na wenzake kudai Katiba Mpya tofauti na Msimamo wa Chama chake wa kudai Tume huru.
Issue ni kwamba peke yake atatoboa?