Baada ya tukio hili hajaonekana tena hadharani

Baada ya tukio hili hajaonekana tena hadharani

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,030
Reaction score
74,721
Mkimtafuta mtu aliyepotea kwa kawaida wa kumuuliza ni yule aliyeonekana naye mara ya mwisho.

Baada ya tukio hili Mheshimiwa huyu mwakilishi wa Kongwa hajaonekana tena sio bungeni wala jimboni.

Tumuulize!

freedom_fighter_2025-___CZwlkAwqHF1___-2.jpg
 
Mkimtafuta mtu aliyepotea kwa kawaida wa kumuuliza ni yule aliyeonekana naye mara ya mwisho.
Baada ya tukio hili Mheshimiwa huyu mwakilishi wa Kongwa hajaonekana tena sio bungeni wala jimboni.
Tumuulize!
View attachment 2182939
Kuna msemo usemao, Muosha naye huoshwa. Na mwingine What goes around comes around. Na mwingine Malipo Ni hapa hapa duniani.

Huyu bwana na mwingine aliyeondolewa walitaka kuifanya Nchi kuwa jehanam ya binadamu wenzao! Nadhani hata yeye anashangaa hajui kilichotokea kilivyotokea
 
Back
Top Bottom