Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amemtembelea Mhadhama Polycarp Kardinali Pengo, nchini Dubai leo.
Kikwete ameandika katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter leo(Ijumaa) na kueleza kuwa amemkuta...
Jana rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza mapinduzi akihutubia mwananchi wa Zanzibar katika kuhitimisha maadhimisho ya mapinduzi ya Zanzibar alitoha hotuba nzuri sana. Aligusia mambo mengi...
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Paul Makonda amesema atawasweka ndani ( jela) viongozi wa kisiasa wanaowakejeli viongozi wa dini mitandaoni kufuatia kuhudhuria kwao kikao cha Ikulu na Rais Magufuli...
Rais Kikwete amewasili Dubai usiku jana akiwa njiani kwenda marekani kwa ajili ya matibabu na kufanya check up ya afya yake.
Maafisa wa ikulu wamethibitisha kuwa safari hii ni kwa ajili ya...
KUZUNGUKA NCHI NZIMA KWA CHOPA.
Na Thadei Ole Mushi.
Waziri wa Habari amerusha Chopa Dodoma leo kuanza Safari ya kuzunguka mikoa yote kuhamasisha anuani za Makazi. Kuna vitu nchi hii huwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JF Kenedi Jijini New York Marekani leo Sept 19,2021 kwa ajili ya kuhudhuria...
Juma Raibu
Taasisi ya Kuzia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imethibitisha kuwa inamchunguza aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu ambaye alivuliwa wadhifa huo Aprili 11, 2022, kwa...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema usimamizi mzuri wa sera za kiuchumi na fedha sambamba na kujenga mahusiano mazuri kati ya walipa kodi na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kumechangia kuimarika...
Nchi yetu hii imebarikiwa kwa mambo mengi lakini imenyimwa watu wenye kuonesha njia ya kutumia vile tulivyobarikiwa navyo.
Wengi, watu wakiongelea upatikanaji wa katiba mpya, mawazo yao...
Tatizo la kukosa maono na muendelezo wa miradi na agenda lipo kwenye familia nyingi za kiafrika kabla ya nchi. Ndio maana Felix Mrema kaondoka na hotel zake. Matajiri wanaondoka na kampuni zao wakifa
hello wanajukwaa,
hapa naongea kama mtu wa "sayari ya 78" baada ya Britanica kukupa ushauri asubuhi kuhusu hali ya usalama wa maisha yako ulivyo, nami nakuomba sana na nakusihi sana mdogo wangu...
Ni kweli kabisa Makonda na rafiki zake walivamia mkutano wa Jaji Warioba na kuzua taharuki lakini mchakato ukaendelea.
Ni kweli kabisa Rasimu ya Jaji Warioba ilifikishwa ndani ya Bunge la Katiba...
Hawa wabunge wengi wa ccm wa uchaguzi wa mwaka 2020 ni mapandikizi wa Sukuma Gang,
Rais Samia kama akigombea tena mwaka 2025 anapaswa kuwafukuza wote hawa kwa kutoruhusu wagombee ubunge tena...
Ni Utamaduni wa kawaida kabisa,Kwenye hizo nchi tunazowaiga na kwenda kuwaomba pia.
Pia kwa baadhi ya nchi majirani zetu hapa hapa Afrika Mashariki,mfano ni Kenya.
Huwa ni kawaida kuona na...
Hii dunia siyo yetu ndio tunapita tukiwa watupu kama tulivyozaliwa, hakuna aliye mkamilifu na kaburi ndio ukamilifu wa mwanadamu,
1) Nani alijua Mr President Magufuli angekuwa Raisi wa Tanzania...
Leo asubuhi nikitokea Sengerema nimeshuhdia hili. Nauli ya kivuko ni sh 400 ukitoa buku unarudishiwa sh 500 badala ya mia sita. Mkatisha tiketi anachenji kibao za mia tano miatano lakini mezani...
Mbunge wa Jimbo la Makete, Mhe Festo Sanga amehoji Bungeni leo kuhusu Soko la Parachichi.
Namnukuu:
"Soko la Parachichi Duniani linasomeka parachichi zinazalishwa Nchi jirani ya Kenya, ili hali...
Leo Paul Makonda mkuu wa mkoa wa DSM akiwa anaongea na waandishi wa habari ofisini kwake akasema watakao vunja sheria wapigwe na Polisi yeye ndoo atajibu je?
Sheria inasemaje kwa mhalifu nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.