Makonda, Ita MEDIA omba msamaha watanzania

Khadija Mtalame

Senior Member
Jul 14, 2021
186
715
hello wanajukwaa,

hapa naongea kama mtu wa "sayari ya 78" baada ya Britanica kukupa ushauri asubuhi kuhusu hali ya usalama wa maisha yako ulivyo, nami nakuomba sana na nakusihi sana mdogo wangu Makonda acha kabisa kuwaomba ushauri hao wazee wa chama unaohisi watakusaidia,

mfano:leo umekutana na" mzee wa chama x" ilikuwa saa 12:46 pm maeneo ya kwa aziz ally, kumuomba kaushauri ufanye nini, mzee kakuambia kinafiki yule ni mmoja ya waliotumwa maana alikuwa na wewe na alikuwa ameongozana na watu wapato 23,alitaka kujua tu umemuitia nini.

nakushauri WAOMBE MSAMAHA WATANZANIA KWA UNYENYEKEVU NA BUSARA ,watanzania ni watu wa kusahau nawe pia watakusamehe na kusahau yaliyopita,umefanya mengi mazuri na mabaya sana , naomba tuanze kurasa mpya, hao wazee wana data zako zote mpaka point "z" huna pa kuchomokea.

nakutakia masikilizo mema mdogo wangu,

dada ako nakupenda sana,

napatikana hapa MZIZIMA(JIJI LENYE HEKA HEKA ZOTE)
 
kuna watu hawazaliwa kuombwa msamaha, wao ni jino kwa jino.... ukiwazingua nao lazima wakuzingue time ikifika..

Shida dogo alideal pia na wahuni wa mjini gizani, sasa wanashikana uchawi huko huko gizani..hawa hawana cha msamaha na ukideal nao unapaswa kuwamaliza kabisa, ukiwaacha kuishi lazima uondoke wewe....
 
hahaha probably
 
Mafisadi yaombwe msamaha kwa lipi?

Makonda anamapungufu yake ila sio kuomba msamaha hawa mafisadi yanaiteketeza nchi
 
Mjanja huyo makonda anatafuta sababu ya kutoroka nchi, TUNDU LISSU ALIITA WAANDISHI na kutaja majina ya tiss na polisi kutaka kumuua na bado wewe makonda na kile kikosi chako ulichopewa na kipilimba mkampiga risasi nyingi kama mnaua tembo bila aibu eti unalalamika hovyohovyo . Uliona Kama una hati miliki ya nchi, umetukana matusi watu wazima na kudhalilisha hovyo mbwa kabisa
 
Aende nchi gani!?! Nchi gani ítampokea. !?
 
hello wanajukwaa,

hapa naongea kama mtu wa "sayari ya 78" baada ya Britanica kukupa ushauri asubuhi kuhusu hali ya usalama wa maisha yako ulivyo, nami nakuomba sana na nakusihi sana mdogo wangu Makonda acha kabisa kuwaomba ushauri hao wazee wa chama unaohisi watakusaidia,

mfano:leo umekutana na" mzee wa chama x" ilikuwa saa 12:46 pm maeneo ya kwa aziz ally, kumuomba kaushauri ufanye nini, mzee kakuambia kinafiki yule ni mmoja ya waliotumwa maana alikuwa na wewe na alikuwa ameongozana na watu wapato 23,alitaka kujua tu umemuitia nini.

nakushauri WAOMBE MSAMAHA WATANZANIA KWA UNYENYEKEVU NA BUSARA ,watanzania ni watu wa kusahau nawe pia watakusamehe na kusahau yaliyopita,umefanya mengi mazuri na mabaya sana , naomba tuanze kurasa mpya, hao wazee wana data zako zote mpaka point "z" huna pa kuchomokea.

nakutakia masikilizo mema mdogo wangu,

dada ako nakupenda sana,

napatikana hapa MZIZIMA(JIJI LENYE HEKA HEKA ZOTE)
The Sea is boiling the Rocks are hot. No where to run.

Kwahiyo alitazama mzee mmoja wa busara anayemwamini akajikuta na huyo naye anamtafuta?🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom