Wabunge wengi wa ccm wa uchaguzi wa 2020 ni zao la Sukuma Gang

seedfarm

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
260
2,654
Hawa wabunge wengi wa ccm wa uchaguzi wa mwaka 2020 ni mapandikizi wa Sukuma Gang,

Rais Samia kama akigombea tena mwaka 2025 anapaswa kuwafukuza wote hawa kwa kutoruhusu wagombee ubunge tena 2025

Uthibitisho kuwa hawa wabunge ni Sukuma Gang

1.Wengi wanamuunga mkono Spika aliyeenguliwa kwa utovu wa nidhamu kwa kudharau mamlaka iliyojichimbia zaidi, Huyu Spika ni Bwana Job Ndugai

Uthibitisho wa haya ni jinsi wabunge hawa walivyoshangilia kwa nguvu na mayowe baada ya kumuona bwana job Ndugai bungeni akihudhuria kikao
 
Ukweli karibu na nusu🏃
 
Back
Top Bottom