Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji Kimataifa.
Faida ya Mhe. Rais kurekodi Kipindi cha 'The Royal Tour'
●Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa kama Marekani, Ulaya, Asia na Afrika hivyo Tanzania itapata Watalii wengi kutoka maeneo hayo.
● Taasisi nyingi za Masuala ya Utalii na Uwekezaji za Kimataifa zenye wafuasi wengi watapata kuijua vizuri Tanzania na dira ya kiongozi Mkuu wa Nchi kwenye masuala ya biashara na uwekezaji.
● Itatambulisha Utamaduni na Mila za Makabila yaliyopo Tanzania.
● Kipindi hicho kitakua kikirushwa kwenye Ndege za Kimataifa ambazo husafirisha abiria Duniani kote.
● Viongozi mbalimbali walishawahi kurekodi kipindi cha 'The Royal Tour' akiwemo Rais Paul Kagame, Waziri Mkuu wa New Zealand Hellen Clark, Rais wa Mexico Felipe Calderon na Rais Samia ni sehemu ya viongozi hao.
Bwanku M Bwanku