Uteuzi: Rais Samia amrudisha Nehemia Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,452
17,155
Rais Samia amemteua Nehemia Kyando Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba ya Taifa (NHC) akichukua nafasi ya Dkt. Maulid Banyani atakayepangiwa kazi nyingine

Aliyekuwa Waziri wa Makazi, William Lukuvi alitengua uteuzi wa Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo mnamo Juni 2018

Awali mnamo Desemba 2017, kabla ya uteuzi wake kutenguliwa alisimamishwa kazi kwa kile kilichoelezwa ni ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zilizokuwa zinamkabili

20220314_192906.jpg
 
Naona Mchechu karudishwa kwenye kiti chake 🐒
Naona watu wale wale wanarudi kula keki ya Taifa.

Juzi nilipoona NHC imepewa kibali cha kukopa nikajua hapa kuna jambo.

Ni maisha yale yale watu wale wale utafikiri nchi hii haina watu wengine.

Wenye nacho wataongezewa na wasio nacho tutanyang'qnywa hata kidogo tulicho nacho.
 
Naona watu wale wale wanarudi kula keki ya Taifa.

Juzi nilipoona NHC imepewa kibali cha kukopa nikajua hapa kuna jambo.

Wenye nacho wataongezewa na wasio nacho tutanyang'qnywa hata kidogo tulicho nacho.
Kibali cha kukopa? Ama ni kibali cha kukopesha?
 
Hizo ni salam tu tunamtumia jiwe huko aliko ktk kuadhimisha mwaka mmoja tangu ateuliwe kuwa mkuu wa malaika.

Pole pole anatakiwa kwenda kupigwa vumbi hapo porini Malawi apambane na wahuni wanaotaka mpaka uwe mwisho wa ziwa Nyasa. Haruhusiwi kutia mguu bongo bila ruhusa ya mama.

Nauliza nani mwingine anajifanya kidume wa legacy tumnyooshe?
 
niliendaga lilongwe mwaka fulani hadi ubalozi wa Tanzania ,kiufupi wamemfunga midomo
 
Naona watu wale wale wanarudi kula keki ya Taifa.

Juzi nilipoona NHC imepewa kibali cha kukopa nikajua hapa kuna jambo.

Wenye nacho wataongezewa na wasio nacho tutanyang'qnywa hata kidogo tulicho nacho.
Sasa ndio mjue kuwa huu sio utawala wa Samia bali mjomba wa Msoga!! Wale wote aliyofanya nao ufisadi wanarudishwa kama njia ya kumdhalilisha Jiwe!! Tungoje na Mattaka kurudi ATCL!!
 
Back
Top Bottom