ANAUPIGA MWINGI
JF-Expert Member
- Apr 14, 2022
- 388
- 757
Kuna siku niliona clip moja ina triend ikisema Shabiby alipuka bungeni, mara kidogo nikaona nyingine ya Mbunge wa Korogwe na ishu ya MSD, sijakaa sawa nikaona nyingine ya mbunge ana msakama January Makamba.
Hii nchi inaangamia kwa Raia wake kuto kujitambua, na siku tutakpo jitambua hutaona zile hadaa pale Dodoma.Zile zote ni hadaaa tupu pale wabunge wanatafuta Covarage pale, ila ukweli hakuna wanacho kifanya.
Bahati mbaya walisha soma Raia tulivyo wapumbavu sasa wanacheza na akili zetu, Njia pekee ni siku moja kutembea hadi kule na kuwatoa nje, hakuna njia nyingine.
Pale kuna kilio Cha machozi ya Mamba, kilio cha kinafiki sana na hakitakaa kikome kamwe