Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanajamvi habari za usiku, Nilikuwa naangalia taarifa ya habari nyumbani kwangu na rafiki ambaye amenitembelea, nikaona taarifa ya walimu kuandamana kutoka jijini Mwanza wakimlalamikia...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika kipindi cha miaka 2 ijayo jiji la Dar es Salaam litashuhudia structures mpya katika mitaa yake ambapo wilaya 5 za Dar es Salaam zitafungwa fire hydrants 3000. Dawasa na jeshi la zimamoto...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Mbunge wa Ukonga, Jerry Slaa ametoa hoja ya kusimamisha ratiba ya Bunge ili kujadili hoja ya vijana waliojiajiri katika usafiri wa bodaboda na Bajaj ambao kulikuwa na taarifa wamezuiwa kuinjia...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu kumekuwepo na maneno, miguno na hisia hasi kuhusu kauli ya Mwalimu Nyerere dhidi ya Comrade Lowassa. Hisia hizi na upotoshaji wa namna hii unafanywa na watu wasioujua ukweli...
34 Reactions
495 Replies
94K Views
Wakuu Kwa kuwa manunuzi ya ndege yalifanyika katika mwaka wa fedha 2016/2017 Kwa kuwa CAG hukaguzi hesabu za serikali baada ya mwaka wa fedha kuisha,yaani ukaguzi wa hesabu za 2016/2017...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Kila mwaka CAG hutoa ripoti yake ya ukaguzi wa fedha za umma ambayo huwa inaonyesha ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma katika maeneo mbalimbali hasa TAMISEMI.Kuna taarifa za kufedhesha sana jinsi...
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Inasikitisha sana tena inahuzunisha kuona ripoti ya CAG ya safari hii baada ya mwendazake kuzikwa, ikiibua madudu mengi mno, tofauti na ripoti zilizokuwa zikiwakilishwa hapo nyuma wakati wa...
13 Reactions
62 Replies
5K Views
Amani ya bwana. Jinsi tunavyokaribia uchaguzi wa 2020 vyama vya upinzani vimebanwa vilivyo na kasi ya Rais Magufuli. Njia pekee ya chadema kutokea ilikuwa ni kuhusu hili la watumishi wa uma...
15 Reactions
315 Replies
36K Views
Wadau Tulitangaziwa na CCM kuwa Magufuli ni Mzalendo wa kweli Rais wa Wanyonge Rais Mwenye Uchungu na Nchi yake je kwa Mfululizo wa REPORT za CAG zenye kuonesha UBADHILIFU wa KUTISHA kila SEHEMU...
2 Reactions
9 Replies
705 Views
Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa...
155 Reactions
521 Replies
47K Views
Siasa ni msingi wa mambo mengi hapa diniani. Siasa iko kila sehemu, kanisani, makazini, na hata kwenye kumbi za starehe. Siasa ni Imani, mtu akiishi kwenye mlengo furani wa siasa na akakolea ni...
22 Reactions
104 Replies
7K Views
Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali CAG, Prof. Mussa Assad amefunguka kufuatia majadaliano yanayoendelea nchini juu ya trilioni 1.5 amabzo zinadaiwa kutofahamika zimetumika katika shughuli...
7 Reactions
30 Replies
7K Views
CAG mstaafu mzee Uttoh amesema ripoti ya CAG ya 2019/2020 ilionyesha ufisadi mkubwa kiasi cha kushangaza hii maana yake ni kuwa panapokuwa na uongozi mkali wapigaji wanakuwa wachache lakini...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Profesa Assad anajua...tena anajua sana serikali ya Awamu ya 5 isivyo na discipline na matumizi ya fedha za umma ndo maana akiwa mcha Mungu wa kweli ameamua kusema ukweli anaoujua japo anazunguka...
69 Reactions
53 Replies
9K Views
Japo CAG ameishahojiwa Dodoma, lakini hapa naendelea kumdurufu. P.
21 Reactions
107 Replies
22K Views
Anasema anatamani mahojiano yake na kamati ya maadili yawekwe wazi ili kila mtu aone amehojiwa nini na yeye amejibu nini? Kwa sababu Ndugai ni mtu muadilifu naamini mahojiano ya Kamati ya maadili...
52 Reactions
322 Replies
36K Views
Msikilize Professor alivyotulia akipangua hoja za mwandishi wa Idhaa ya Umoja wa Mataifa ngazi kwa ngazi. Ilikuwa July 2018 Anasema tuwe na taasisi imara zaidi kuliko watu wenye nguvu. Hili...
16 Reactions
93 Replies
12K Views
Uchambuzi wa ACT Wazalendo Kuhusu Maeneo Kumi (10) Muhimu Kwenye Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa Mwaka wa Fedha wa 2017/18 - Ikulu Yatumika Kuficha Ukaguzi wa...
96 Reactions
219 Replies
32K Views
Ameandika hivyo kupitia twitter: Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo...
34 Reactions
136 Replies
12K Views
Kama tunakumbuka vizuri, ripoti ya kwanza ya CAG Assad baada ya kuingia kwa awamu ya 5 pamoja na ubadhirifu mwingine ilionesha ufisadi wa kiasi cha pesa 1.5 Trilioni ambacho hakikuoneka wapi...
15 Reactions
46 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…