Zitto Mbona Hukuzikwa na Mama Yako Kama Ulimpenda

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,551
11,881
Ni kwa sababu wengi tuliokerwa na kauli ile tunapenda na yeye aje atujibu humu.

#Zittokabwe

Swali rahisi kwa kauli yako Zitto Zuberi Kabwe, uliyoitoa kule Club House .

Je! wewe hukuzikwa na mama yako sababu ulikuwa humpendi na ulifurahia pale alipofariki?

Au hukuzikwa naye kwa sababu wewe sio Muha kama unavyotuaminisha?

Maana roho na matendo yako ni ya Kihutu zaidi ya Kiha.

Je!
Kama hiyo ndio kauli toka kwa mtu ambae umekuwa ukigombea uongozi na kuaminiwa kwa nyakati tofauti.

Ni wazi sasa tuelewe kariba yako ilivyo na roho mbaya iliyojawa na visasi!

Zitto acha umamluki wa kisiasa.

Zitto acha ubinafsi na udini.

Tunajua baba mkwe wako na genge la CAG Assad liliumia ghafla.

Usitake tukumbuke ya Marehemu Amina Chifupa na Mume wake Mohamed Mpakanjia.

Wala usitake tukumbuke ya Deo Filikunjombe.

Zitto huna usafi wowote katika jamii ya watu wasafi na wanasiasa wa nchi hii.

Kama uongo njoo hapa wewe mwenyewe unijibu

Mengi yako yanajulikana.........

commonmwananchi
10101.
View attachment 2197511
 
Moderators tafadhali sana nawasihi msiuchanganye uzi huu.

KWANI UMEMSIKIA ZITTO ANAMTAJA TAJA MAMA YAKE KAMA NYIE?
 
Achana na Zitto Kabwe wewe. Sisi tunaongeza sauti "KAMA UNAMPENDA MAGUFULI NENDA KAZIKWE NAYE", period. Masuala ya kwamba Zitto hakuzikwa na Mama yake ni OUT OF TOPIC hapa.

Tunaongelea Magufuli na maovu yake basi, maana nyinyi mumekuwa misukule mumesau uhayawani wa DIKTETA wa Chato. Yule alikuwa shetani ma bila Mungu kuingilia kati pale 17/03/21 Nchi yetu ingekuwa kama Somalia au Zimbabwe
 
Moderators tafadhali sana nawasihi msiuchanganye uzi huu.

Ni kwa sababu wengi tuliokerwa na kauli ile tunapenda na yeye aje atujibu humu.

#Zittokabwe

Swali rahisi kwa kauli yako Zitto Zuberi Kabwe, uliyoitoa kule Club House .

Je! wewe hukuzikwa na mama yako sababu ulikuwa humpendi na ulifurahia pale alipofariki?

Au hukuzikwa naye kwa sababu wewe sio Muha kama unavyotuaminisha?

Maana roho na matendo yako ni ya Kihutu zaidi ya Kiha.

Je!
Kama hiyo ndio kauli toka kwa mtu ambae umekuwa ukigombea uongozi na kuaminiwa kwa nyakati tofauti.

Ni wazi sasa tuelewe kariba yako ilivyo na roho mbaya iliyojawa na visasi!

Zitto acha umamluki wa kisiasa.

Zitto acha ubinafsi na udini.

Tunajua baba mkwe wako na genge la CAG Assad liliumia ghafla.

Usitake tukumbuke ya Marehemu Amina Chifupa na Mume wake Mohamed Mpakanjia.

Wala usitake tukumbuke ya Deo Filikunjombe.

Zitto huna usafi wowote katika jamii ya watu wasafi na wanasiasa wa nchi hii.

Kama uongo njoo hapa wewe mwenyewe unijibu

Mengi yako yanajulikana.........

commonmwananchi
10101.
View attachment 2197511
Hacheni mifano ya hovyo.Mama yake zito hakuwai kuhusishwa na uovu kwa binadamu wenzake kama ilivyo kwa JPM,kwahiyo yanayotamkwa ni matokeo ya uovu wa mtu anapokua hai
 
tunapomsifu JPM kwa matendo yake hatuna budi pia kuwa wapole pale anaposemwa kaa ubaya wake....otherwise wote tukae kimyaa kabisa..
 
Moderators tafadhali sana nawasihi msiuchanganye uzi huu.

Ni kwa sababu wengi tuliokerwa na kauli ile tunapenda na yeye aje atujibu humu.

#Zittokabwe

Swali rahisi kwa kauli yako Zitto Zuberi Kabwe, uliyoitoa kule Club House .

Je! wewe hukuzikwa na mama yako sababu ulikuwa humpendi na ulifurahia pale alipofariki?

Au hukuzikwa naye kwa sababu wewe sio Muha kama unavyotuaminisha?

Maana roho na matendo yako ni ya Kihutu zaidi ya Kiha.

Je!
Kama hiyo ndio kauli toka kwa mtu ambae umekuwa ukigombea uongozi na kuaminiwa kwa nyakati tofauti.

Ni wazi sasa tuelewe kariba yako ilivyo na roho mbaya iliyojawa na visasi!

Zitto acha umamluki wa kisiasa.

Zitto acha ubinafsi na udini.

Tunajua baba mkwe wako na genge la CAG Assad liliumia ghafla.

Usitake tukumbuke ya Marehemu Amina Chifupa na Mume wake Mohamed Mpakanjia.

Wala usitake tukumbuke ya Deo Filikunjombe.

Zitto huna usafi wowote katika jamii ya watu wasafi na wanasiasa wa nchi hii.

Kama uongo njoo hapa wewe mwenyewe unijibu

Mengi yako yanajulikana.........

commonmwananchi
10101.
View attachment 2197511
Mbona hamueleweki, hivi hamjui kwanini Magufuli anasemwa sana waelevu? Na wengi wanaolialia ni wale ambao mlinufaika na mienendo hovu ya mwendazake?.

Kati ya vitu vilivyoniuma ni kujenga international airport kijijini kwake kwa pesa zetu bila kuidhinishwa na bunge, hisia zangu zinanifanya nifikirie kabisa kwamba bwana yule aliplani aongoze kwa umri wake wote bila kufuata utaratibu uliopo.

Nawashangaa sana kuhusu udini mnaozungumzia wa Zitto, ishara gani anazionesha sisi wengine mbona hatuzioni, mbona wenzenu viongozi wa serikali/umma wanapojionesha kabisa kwenye mambo ya kidini wenzenu hawasemi? Tulimuona Lukuvi akiowaongelea waislamu kanisan tena akiwa waziri mhandamizi ila hatukuwasukia wenzenu wala nyie mkisema Lukuvi kwa udini wake.

Tatizo lenu kila mmoja mnataka awe ni wa kumtukuza Magufuli pamoja na mabaya aliyoyafanya, kumbukeni hicho kitu hakiwezekani, Kuna watu womepotea akina Ben Saa nane unafikiri ndugu zake watamuabudu Magufuli kama unavyotaka wewe?
 
Hacheni mifano ya hovyo.Mama yake zito hakuwai kuhusishwa na uovu kwa binadamu wenzake kama ilivyo kwa JPM,kwahiyo yanayotamkwa ni matokeo ya uovu wa mtu anapokua hai
Tunaongelea upendo kwa Marehemu.
Hiyo ndiyo Topic ya Zitto Kabwe.

Kwani Zitto ana lipi la kukumbukwa na watanzania zaidi ya JPM?
 
Back
Top Bottom