Hivi Baadhi Ya Wanasiasa Wanapokuwa Wanasema Damu Itamwagika Huwa Wanamaanisha Ya Nani?

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,629
34,173
Damu Ya Nani,ndugu Jamaa,rafiki Au Mzazi Wa Nani?Maana Kuna Wanasiasa Ambao Hawawezi Kuongea Maneno Kumi Bila Kusema Damu Itamwagika!!Naomba Tu Ufafanuzi.
 
Hujui ni Viroba ndio vinawaharibu
Umeona wapi chama kina wapelekea viroba wafuasi wake ili kichaguliwe na wanywa viroba Zaidi ya hawa wetu Tanzania!!
Basi tegemea viongozi wa vyama hivyo ni waropokaji
 
Damu Ya Nani,ndugu Jamaa,rafiki Au Mzazi Wa Nani?Maana Kuna Wanasiasa Ambao Hawawezi Kuongea Maneno Kumi Bila Kusema Damu Itamwagika!!Naomba Tu Ufafanuzi.
Watableed ..maana unaukiza maswali ya Kipuuzi asubuhi yote hii .. sijui umevimbiwa pilau la odd
 
Back
Top Bottom