CCM imepauka ghafla na Umoja party imeng'aa ghafla

Kiturilo

JF-Expert Member
Sep 27, 2021
709
2,858
Kudoda kwa zoezi la chaguzi zinazoendelea ndani ya ccm licha ya mzee Kinana kurejeshwa ni ishara mbaya kwa chama hicho, kauli za kina Nape kwamba ccm kina wenyewe kimeiharibia vibaya mno ccm. Ni lazima Nape alazimishwe kuwaomba radhi wanaccm na watanzania kwa ujumla.

WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kishiriki chaguzi zinazoendelea na watu wanajiuliza yale mamia ya wanaccm waliojitokeza kuchukua fomu za ubunge na ngazi zingine enzi ya utawala wa Hayati Magufuli wameenda wapi?

Kuna hisia kali ndani ya mioyo ya watanzania kwamba sasa ccm imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji na kama ni mzalendo wa nchi ni lazima uchafuliwe na kutukanwa kama anavyofanyiwa Luhaga Mpina na Hayati Magufuli.

WanaCCM wanaojitambua wameghazabika na sasa wameichukia CCM na kimbilio lao wanaona ni Umoja party.

Hayati JPM hachafuki.

WanaCCM wanajua kabisa wanakibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.
 
Hivi Kwa akili ya kawaida kabisa, Utaanzia wapi kumfanya Mmachinga ,mkulima, aamini kua JPM alitenda vibaya??

Yaan unaanzia wapi sasa ??.

ILI UTOBOE KISIASA KWA SASA, NI LAZIMA UWE NA SIASA AMBAZO NDANI YAKE ZIMEBEBA FALSAFA ZA JPM.

Amin nawambia, JPM aliwafungua Vichwa Watanzania kiasi Cha kujua aina gan ya Rais anawafaa? Na nani ni adui Yao??.

Nakupa mfano..Leo mida ya saa 11 nilipita Soko fulan la Nguo , Mahali fulan nilisimama Kuna wazee walikua karibu 9 ivi wanamjadili Samia na Safari za Ulaya zisizoisha, na Maisha kupanda juu

Na Kwa hizi Fujo namashambulizi yao dhidi ya JPM ndo kabisaaaaaa wanajivuruga.

MAAJABU NI KWAMBA MWAKA 2025, Samia atalitumia jina la JPM kuomba Kura !!!.

K
 
Samia atakuwa Rais 2025 na hata akitumia jina hilo utake usitake atakuwa Rais na hakuna cha kufanya
 
Hivi Kwa akili ya kawaida kabisa, Utaanzia wapi kumfanya Mmachinga ,mkulima, aamini kua JPM alitenda vibaya??

Yaan unaanzia wapi sasa ??.

ILI UTOBOE KISIASA KWA SASA, NI LAZIMA UWE NA SIASA AMBAZO NDANI YAKE ZIMEBEBA FALSAFA ZA JPM.

Amin nawambia, JPM aliwafungua Vichwa Watanzania kiasi Cha kujua aina gan ya Rais anawafaa? Na nani ni adui Yao??.

Nakupa mfano..Leo mida ya saa 11 nilipita Soko fulan la Nguo , Mahali fulan nilisimama Kuna wazee walikua karibu 9 ivi wanamjadili Samia na Safari za Ulaya zisizoisha, na Maisha kupanda juu

Na Kwa hizi Fujo namashambulizi yao dhidi ya JPM ndo kabisaaaaaa wanajivuruga.

MAAJABU NI KWAMBA MWAKA 2025, Samia atalitumia jina la JPM kuomba Kura !!!.

K

Bila wapinzani kuvifanya vyombo vya uwakilishi kuwa priority yao number one, viongozi wao wa sasa watazeeka na kuiacha CCM ikiendelea kutesa! Kuanguka kwa CCM kutatokea pindi itakapopoteza control kwenye hivyo vyombo. Wapinzani lazima wapate uwezo wa kusawazisha playing field kwa kufuta bad laws kwanza!
 
Kudoda kwa zoezi la chaguzi zinazoendelea ndani ya ccm licha ya mzee Kinana kurejeshwa ni ishara mbaya kwa chama hicho, kauli za kina Nape kwamba ccm kina wenyewe kimeiharibia vibaya mno ccm. Ni lazima Nape alazimishwe kuwaomba radhi wanaccm na watanzania kwa ujumla.

WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kishiriki chaguzi zinazoendelea na watu wanajiuliza yale mamia ya wanaccm waliojitokeza kuchukua fomu za ubunge na ngazi zingine enzi ya utawala wa Hayati Magufuli wameenda wapi?

Kuna hisia kali ndani ya mioyo ya watanzania kwamba sasa ccm imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji na kama ni mzalendo wa nchi ni lazima uchafuliwe na kutukanwa kama anavyofanyiwa Luhaga Mpina na Hayati Magufuli.

WanaCCM wanaojitambua wameghazabika na sasa wameichukia CCM na kimbilio lao wanaona ni Umoja party.

Hayati JPM hachafuki.

WanaCCM wanajua kabisa wanakibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.
Nicheke mimi 🤣🤣

Mkuu CCM haijaanza na Magufuli.....

Kilikuwepo CCJ....
Kilikuwepo CCK....

Waanzilishi wake wanajulikana vyema tu....walioko hai Leo wengine ni mawaziri....nguvu ya CCM iliwashinda hatimaye wakabaki NJIA KUU 🤣🤣

Nini wafuasi hao walinda legacy ya kiongozi aliyekuwa zao la CCM?!!!

Tuna mbinu 2000....
CCM ina mbinu kedekede....

Endelea kujidanganya....
JIDANGANYE tu...🤣🤣

#Siempre CCM🙏
 
MAAJABU NI KWAMBA MWAKA 2025, Samia atalitumia jina la JPM kuomba Kura !!!.
Ni afadhali asifanye hivyo maana ataonekana ni mnafiki wa wazi. Hawezi kuwa anamnanga sasa hivi then 2025 aanze kumsifia. Kufanya hivyo itakuwa sawa na chadema walivyofanya kwa Lowassa, wakamfisadisha baadae wakampokea kuwa mgombea wa urais - unafiki wa hali ya juu sana.
 
Kwanini hamtaki kukubali kukubali kuwa JPM kafariki .??

Ki dini, ki asili ya dunia, watu wote hufariki na maisha inabidi yaendelee..

Tatizo lenu nini kila siku JPM.??

Hamjawahi kufiwa hata makwenu.??

Mnatia kinyaa..
 
Kudoda kwa zoezi la chaguzi zinazoendelea ndani ya ccm licha ya mzee Kinana kurejeshwa ni ishara mbaya kwa chama hicho, kauli za kina Nape kwamba ccm kina wenyewe kimeiharibia vibaya mno ccm. Ni lazima Nape alazimishwe kuwaomba radhi wanaccm na watanzania kwa ujumla.

WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kishiriki chaguzi zinazoendelea na watu wanajiuliza yale mamia ya wanaccm waliojitokeza kuchukua fomu za ubunge na ngazi zingine enzi ya utawala wa Hayati Magufuli wameenda wapi?

Kuna hisia kali ndani ya mioyo ya watanzania kwamba sasa ccm imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji na kama ni mzalendo wa nchi ni lazima uchafuliwe na kutukanwa kama anavyofanyiwa Luhaga Mpina na Hayati Magufuli.

WanaCCM wanaojitambua wameghazabika na sasa wameichukia CCM na kimbilio lao wanaona ni Umoja party.

Hayati JPM hachafuki.

WanaCCM wanajua kabisa wanakibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.
Atakuomba muda SII mrefu,endelea kumsubirii
 
Magufulism ni falsafa inayosimama na wananchi walio wengi na masilahi yao.

Yeyote anayeipinga hasimami na wananchi walio wengi pamoja na masilahi yao, anapinga demokrasia.

For a politician to be popular, presentable and majority-supported; s/he MUST be Magufulist.
 
Ni mpumbavu pekee ndie anaweza kulinganisha utendaji kazi wa jiwe JPM na hawa kina VASCO DA GAMA.

Itachukua miaka mingi sana kumpata rais mithili ya Jiwe.
rafiki yangu itachukuwa miaka mingi kweli au haitatokea kabisa kupata rais katili kama magufuli mungu inshalla atuipushe na hilo, hebu nitajie rais gani duniani asyesafiri mbaye amejifungia tu. nchini kwake ukiacha magufuli na dikteta wa korea kaskazini.ni madikteta tu wasiosafiri wakiogopa kukamatwa na kushtakiwa.
 
Magufulism ni falsafa inayosimama na wananchi walio wengi na masilahi yao.

Yeyote anayeipinga hasimami na wananchi walio wengi pamoja na masilahi yao, anapinga demokrasia.

For a politician to be popular, presentable and majority-supported; s/he MUST be Magufulist.
Acha kutudanganya,sera zake alizijua athari zake na hata aliamua kujitenga na mataifa ya ulimwengu huu,Sasa athari za ke ndio sababu ya wafuasi nyie kuona anashambuliwa,mnashambuliwa,sijui ni lini mtauona ukweli na kuukubali ukweli
 
Ni mpumbavu pekee ndie anaweza kulinganisha utendaji kazi wa jiwe JPM na hawa kina VASCO DA GAMA.

Itachukua miaka mingi sana kumpata rais mithili ya Jiwe.
Hatakuja kutokea Rais kama Magufuli tena Tanzania. Ujinga uliofanyika mwaka 2015 kumuachia KICHAA awe mgombea wa CCM na Kisha kuwa Rais hautarudiwa tena.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom