Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WAZIRI NDALICHAKO AKABIDHIWA NA MAJENGO NA SHULE NA UNICEF AWAAGIZA TBA KULIPA MADENI NA KUMALIZA MRADI WA IHUNGO SEKONDARI Na: Sylvester Raphael Katika Siku yake ya pili Mkoani Kagera Waziri...
5 Reactions
17 Replies
5K Views
Ni jambo lilizoeleka kwa mkaguzi mkuu na mdhibiti wa pesa za Serikali (CAG) kuibuka na ripoti kila mwaka, inayoonyesha namna mabilioni ya pesa ya walipa zinavyotafunwa na "wajanja" wachache...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu wa JF wenzangu. Ama baada ya salam ningependa kuandika kile kilichosemwa na ndugu yetu ambae jina lake nimeliambatanisha na kichwa cha habari hapo juu. Ndugu Zitto amekuwa...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Tangu Rais Samia ameingia nchini leo asubuhi. Ametoa hotuba mara mbili kupitia TBC. Moja ni pale Kwenye hafla fupi ya mapokezi uwanjani Kilimanjaro, leo asubuhi. Na nyingine ni pale AICC kwenye...
16 Reactions
109 Replies
7K Views
JOHN Magufuli hayupo duniani. Ila nguvu yake bado inaishi ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Magufuli alitengeneza wabunge wake. Wanaitwa “loyal to a fault" – “watiifu wasioambiwa...
10 Reactions
56 Replies
4K Views
Miaka ile ukiwa bungeni ulilisaidia taifa lako kuibua madudu mengi sana. Na ulikiri wazi kuna jamaa zako Usalama wa taifa walikuwa wanakuvujishia nyeti hizo. Sasa hivi umekiri harufu za ufisadi...
0 Reactions
6 Replies
933 Views
Nashangaa kuona UJENZI WA hovio WA BARABARA mwendo Kasi kwenda Mbagala iko hovio. Injinia WA mkoa, wilaya as if wao wanaishi mbinguni, hawaoni hawaioni hiyo adha ya hiyo BARABARA. Tunaomba...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Waziri Nape, kuna dosari kwenye zoezi la anuani za Mitaa. Ipo mitaa inandikwa kwa jina la Kiswahili na mingine inaandikwa kwa lugha ya Kiingereza. Unakute vibao viwili vinavyotumia mlingoti...
2 Reactions
3 Replies
758 Views
Nilitegemea mkazo na msisitizo uwe bwawa la Mwl Nyerere likamilike kwa wakati ili umeme ushuke bei na bidhaa zishuke bei. Hii ingekuwa ni nafuu ya maisha kwa watanzania wa hali ya chini. Lakini...
0 Reactions
4 Replies
649 Views
Nimekutana na hoja katika mtandao wa Twitter nimeona vyema kushare hapa nanyi wanabodi. Kumbe muda mwingine hawa mashangazi wa Twitter ni weupe kichwani wanaleta ujuaji tu. Tazama hapa...
15 Reactions
77 Replies
6K Views
Kwa kifupi Sabaya amefunua ukweli ambao wengi tusingeweza kuufahamu kirahisi. Kwanza ni ujasiri mkubwa kuwataja viongozi wakubwa kwenye kesi ambayo inaonyesha Kuna uhalifu, Kukiri kwamba alitumwa...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu, Sio lengo langu kufundisha mamlaka husika namna ya utendaji wa majukumu yao wala kuelekeza nini cha kufanya lakini mimi pia sio mwanasiasa, mahusiano yangu na serikali yapo upande...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Akizungumzia hukumu hiyo iliyotolewa Oktoba 9, mwaka huu, Dk. Abbasi amesema ameulizwa kuhusu hukumu hiyo, na hivyo amelazimika kutoa ufafanuzi. “Msingi wa kesi zote mdaiwa siyo serikali wala...
2 Reactions
165 Replies
20K Views
LIVE / MUBASHARA : 25 April 2022 District of Columbia A New Day for U.S.-Tanzania Relations: H.E. Samia Suluhu Hassan, President of Republic of Tanzania the Wilson Center Africa Program for A...
10 Reactions
89 Replies
6K Views
Leo Rais Samia Suluhu amerejea nchini na atazindua filamu ya 'Royal Tour' jijini Arusha. Rais Samia ametoa mrejesho wa kilichojiri kwenye ziara yake Marekani ambapo aliondoka nchini April 13...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Akizungumza baada ya kurejea Nchini Tanzania kutoka Marekani, amesema Watanzania wategemee matunda kutoka Filamu ya TheRoyalTour na Nchi ijitayarishe kupokea wageni wengi Amesema Fedha za...
11 Reactions
109 Replies
7K Views
Spika wa Bunge Job Ndugai, leo Aprili 14 atazungumza na waandishi wa habari jambo muhimu kuhusu bunge. Mazungumzo hayo yatafanyika katika ofisi ndogo ya bunge jijini Dar es salaam majira ya saa...
9 Reactions
801 Replies
76K Views
Kuna kila dalili kwamba wabunge wa viti maalumu wa Chadema wote 19 wataondolewa bungeni kwa sababu waliingia kinyume na matakwa ya katiba ya JMT Tundu Lissu aliongea, Spika Tulia aliongea na sasa...
9 Reactions
116 Replies
8K Views
Kuna uwezekano mkubwa ikafika jumapili Mei Mosi raisi akiwa hajarejea ama kama atarejea akatoa udhuru kuwa kachoka. Je, makamu wa raisi atatimiza hamu na gamu ya watumishi wa umma? Tumeshuhudia...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais anaenda kukaa USA zaidi ya wiki mbili. Huko anaenda kufanya shughuli za kiserekali na kubwa zaidi ni Uzinduzi wa filamu ya royal tour. Kila siku tunaambiwa hii filamu ilitengenezwa kwa pesa...
10 Reactions
53 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…