Lissu kurejea, asisitiza mapambano ya Katiba Mpya

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,833
Reaction score
140,900
lissu-pic.jpg

Mbeya.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema suluhisho la umasikini wa Tanzania ni kupatikana kwa Katiba mpya.

Lissu anayeishi nchini Ubeligiji ameyasema haya alipokuwa akihutubia la kongamano la Baraza la Vijana la chama hicho (Bavicha) lililofanyika katika mji wa Mbalizi jijini Mbeya, akisema kuna mfumo usiojali masilahi ya wananchi.

Akizungumzia masilahi ya wafanyakazi, Lissu amehoji sababu ya Rais Samia kutoweka wazi nyongeza ya mshahara akiishia kusema 'jambo lipo.’

"Tujiulize, Kenya iliyoweka watu lockdown imewezaje kuongeza asilimia 12 ya mshahara ilhali Tanzania ambao hakuna mtu aliyefungiwa ndani ikashindwa kuongeza mshahara?” amehoji Lissu.

Akizungumzia kurejea kwake nchini, Lissu amesema muda si mrefu atawasili nchini, huku akieleza kuwa anachotaka akifika ni kufanya mikutano ya hadhara lakini kuhakikishiwa usalama wake kwani hakuna asiyejua jinsi alivyoondoka.

"Wana Mbeya na Watanzania kwa ujumla kaeni tayari narejea ndani ya wiki na siyo tena miaka, japokuwa lazima tushauriane kati yangu na nyinyi na viongozi ili kujua mazingira kama ni salama.

“Nikija nataka tufanye mikutano ya hadhara na siyo kujificha. Tutakutana hivi karibuni na siyo miaka tena," amesema Lissu huku akishangiliwa na wafuasi wake.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bavicha Taifa, John Pambalu amesema amesikitishwa na kauli ya raisi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) kuchukua muda mwingi kupongeza juhudi za Serikali badala ya kueleza kilio cha wafanyakazi.
 
View attachment 2207910

Mbeya.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema suluhisho la umasiki wa Tanzania ni kupatikana kwa Katiba mpya.

Lissu anayeishi nchini Ubeligiji ameyasema haya alipokuwa akihutubia la kongamano la Baraza la Vijana la chama hicho (Bavicha) lililofanyika katika mji wa Mbalizi jijini Mbeya, akisema kuna mfumo usiojali masilahi ya wananchi.

Akizungumzia masilahi ya wafanyakazi, Lissu amehoji sababu ya Rais Samia kutoweka wazi nyongeza ya mshahara akiishia kusema 'jambo lipo.’

"Tujiulize, Kenya iliyoweka watu lockdown imewezaje kuongeza asilimia 12 ya mshahara ilhali Tanzania ambao hakuna mtu aliyefungiwa ndani ikashindwa kuongeza mshahara?” amehoji Lissu.

Akizungumzia kurejea kwake nchini, Lissu amesema amesema muda si mrefu atawasili nchini, huku akieleza kuwa anachotaka akifika ni kufanya mikutano ya hadhara lakini kuhakikishiwa usalama wake kwani hakuna asiyejua jinsi alivyoondoka.

ALIDGANI AKISIFIA MSHAHARA WA Sh.1,010,000/= aliotaka utapandishwa

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi wa TUCTA aligeuka kuwa mwenyekiti wa uvccm. Ameahidi kumpigia kampeni rais Samia hata baada ya kumqliza muhula wake wa Kwanza ili abakie madarakani.

Bado tuna Safari ndefu Sana nchi hii
 
View attachment 2207910

Mbeya.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema suluhisho la umasiki wa Tanzania ni kupatikana kwa Katiba mpya.

Lissu anayeishi nchini Ubeligiji ameyasema haya alipokuwa akihutubia la kongamano la Baraza la Vijana la chama hicho (Bavicha) lililofanyika katika mji wa Mbalizi jijini Mbeya, akisema kuna mfumo usiojali masilahi ya wananchi.

Akizungumzia masilahi ya wafanyakazi, Lissu amehoji sababu ya Rais Samia kutoweka wazi nyongeza ya mshahara akiishia kusema 'jambo lipo.’

"Tujiulize, Kenya iliyoweka watu lockdown imewezaje kuongeza asilimia 12 ya mshahara ilhali Tanzania ambao hakuna mtu aliyefungiwa ndani ikashindwa kuongeza mshahara?” amehoji Lissu.

Akizungumzia kurejea kwake nchini, Lissu amesema amesema muda si mrefu atawasili nchini, huku akieleza kuwa anachotaka akifika ni kufanya mikutano ya hadhara lakini kuhakikishiwa usalama wake kwani hakuna asiyejua jinsi alivyoondoka.

"Wana Mbeya na Watanzania kwa ujumla kaeni tayari narejea ndani ya wiki na siyo tena miaka, japokuwa lazima tushauriane kati yangu na nyinyi na viongozi ili kujua mazingira kama ni salama.

“Nikija nataka tufanye mikutano ya hadhara na siyo kujificha. Tutakutana hivi karibuni na siyo miaka tena," amesema Lissu huku akishangiliwa na wafuasi wake.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bavicha Taifa, John Pambalu amesema amesikitishwa na kauli ya raisi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) kuchukua muda mwingi kupongeza juhudi za Serikali badala ya kueleza kilio cha wafanyakazi.
Tuna msubiri mwamba kwa hamu sana
 
kuhakikishiwa usalama wake kwani hakuna asiyejua jinsi alivyoondoka.
Pengine kuna umuhimu wa kuwepo na ufahamu, hata kama haukusemwa waziwazi, ili watu waelewe kwamba kama kuna kikundi cha watu, iwe ni kwa dhamira yao wenyewe, au kwa kutumwa na mamlaka wanaoendelea na mipango ya kudhuru wananchi wenzao, wao pia waanze kujitambua kwamba hawatakuwa salama wanapofanya mipango ya namna hiyo.

Hii lugha ni muhimu ianze kueleweka na watu wasitilie shaka juu yake.

Kama serikali inao wajibu wa kulinda usalama wa raia zake, lakini ikaamua kwa maksudi kutotimiza wajibu wake huo kwa baadhi ya watu (raia zake), kwa vile tu hao watu wana misimamo tofauti na wao, basi wajibu wa hao wanaowindwa ni wao kujilinda kwa njia yoyote ile inayofaa.

CHADEMA ni lazima wawe na utaratibu maalum wa kuwalinda viongozi wao. Atakayethubutu kuwatisha na kuwadhuru, afanye hivyo akiwa na ufahamu kwamba atalipa uovu huo kwa uovu kwa njia moja au nyingine.
 
Back
Top Bottom