Kwa nini sinema ya Taifa inaitwa 'Royal tour'?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,028
5,961
Sinema ya Taifa inaitwa 'Royal Tour'. Kwa nini sinema hii imepewa jina hilo? Maana ya 'royal' hapa ni ipi?

 

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
37,223
41,188
Inategemea mwandaaji,

Pia wasimamizi hawakuwa na muda wa kuwaza kukitangaza kiswahili chetu.

Hata ingeitwa TANZANIA YETU lingekuwa jina bora zaidi.
 

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
9,873
20,577
Nimegundua uelewa wa Watz wengi ni mdogo sana...
Ni tatizo kubwa zaidi ya tunavyodhani! Uelewa na ufahamu wa mambo ya dunia huko kwa Watanzania wengi ni mdogo kiasi hadi linakuwa janga!

Huwezi kudhani mtu wa siku nyingi humu kama Mamndenyi atakoment utopolo wa kiwango hicho 👆
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom