Kuna mtumishi mmoja analalamika kwanini upandishaji mishahara umekuwa wa hisani ya Mhe. Rais nikamwambia akamuulize Mbunge wake aliyempeleka Bungeni. Nimemjibu hivyo Kwa sababu awali enzi ya JK...
Tanzania ni nchi pekee ambayo wanaotunza nyaraka za mikataba nyeti ya rasilimali za nchi siyo sehemu ya majadiliano na uandishi wa mikataba hiyo. Hivyo waliopewa dhamana ya kuhifadhi nyaraka hizi...
Kwa namna hali ilivyo nilitegemea mkuu wa nchi awe amekemea na kumpa Dotto Biteko Ultimatum.
Yupo busy tu na kuwapongeza waliochangia Royal tour kimchongo.
Utoroshwaji wa rasilimali za umma...
Natamani kujua, hivi kila mkataba ni lazima taifa likubaliane nao hata kama hauendani na mazingira ya nchi husika?
Kwa mfano rais aliposema kwamba, kama mfanyakazi wa ndani ana mwenza wake, kwa...
Mabango yote yanayopita mbele ya Mh Rais Samia Suluhu mjini Dodoma yanaongelea maslahi na mishahara ya wafanyakazi lakini bango la mamlaka ya kodi yaani TRA wanasema Michezo ni afya hawajagusia...
Mh Rais Mama Samia nakusalimu kwa jina la JMT.
Naomba kukupongeza na kukushukuru namna unavyopigania kuinua UTALII kupitia ROYAL TOUR.Ni wazi tena pasipo shaka kwamba ROYAL TOUR inakwenda...
Ili mwajiri aongeze mshahara lazima kwanza atambue hasara atakayoipata kwa kumkosa huyo mwajiriwa baada ya kuona nguvu ya kudaiwa.never expect simpo things.
Hapa Tanzania viongozi tayari wana...
Chadema kaeni mkao wa kula maana sasa mpambano kwa ajili ya katiba mpya na mikutano ya hadhara umeiva.
Lissu sio wa mchezo linapokuja suala la haki za wananchi
👇Lissu asisitiza Katiba mpya...
Haya ni maoni yangu na mtu yeyote halazimishwi kuyapokea.
Sihitaji kurudia mazuri ya Magufuli. Tunajua alikuwa Rais wa watu aliyeongoza kwa ajili ya watu wa chini kabisa. Wazalendo wa Nchi hii...
Sakata linaloendelea la Msigwa kuwa tofauti na wenzake ndani ya CHADEMA lina kila dalali yuko njiani kubwaga manyanga na kujiunga kwenye orodha hii ndefu;
1.Dr. Slaa
2.Davidi Kafulila
3.Mwita...
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa temeke bw. Yona amepigwa na kuumizwa vibaya Leo usiku na kutupwa maeneo ya Ununio.
Yona amekuwa ni akipinga vikali maamuzi ya kamati kuu CHADEMA kuwavua uanachama...
Kwa mujibu wa Samia ni kosa la jinai kutamka kwa namna yeyote eti Rais alikosea na hii ni kwa SABABU RAIS HUWA HAKOSEI.
Muktadha wangu ni upi hapa;
Kwanza ni wakosefu wa adabu wale wote wanao...
DC. Jokate Mwegelo: Ametoa siku saba kwa wenyeviti wa serikali za mitaa kuunda Vikundi vya Ulinzi Shirikishi katika Mitaa yao.
Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Temeke...
Kati ya mwaka 2015-2020 chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kilikuwa na wabunge wengi bungeni pamoja na kufanya vizuri kwenye kura za urais. Hali iliyokifanya kupokea ruzuku ya serikali...
Pamoja na wafanyakazi kula msoto kwa miaka 7...
Narudia Tena miaka SABA! Bado Kuna watu wamenuna mama kutangaza JAMBO lake kwa wafanyakazi...
Basi kama Kuna mtu amekasirika aende kule lile kaburi...
Wakati Rais wetu akiita 'Jambo Letu'...
“Lile jambo letu lipo. Ndugu zangu jambo letu lipo ila sio kwa kiwango kilichosemwa na TUCTA kwa sababu mnajua hali ya uchumi wa nchi yetu na hali ya...
Wakuu , Idd Mbaraka ANSWAR SUNNA , baada ya salamu za IDD , niingie moja kwa moja kwenye mada , nimeona mabango Mengi ya Wafanyakazi wanaopita mbele ya Rais yakiwa yameandikwa jambo moja tu ambalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.