Kwanini watu wa Bongo Muvi na Bongo Fleva wanatumika kama mabalozi wa Royal tour?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,761
71,145
Hivi nani aliwaambia kuwa mtu akiwa maarufu kwenye bongo Flava anaweza kushawishi watu kwa kuwa balozi kwenye kila jambo? Au msanii wa mipasho, movie hizi mbovu na hata hii Sanaa mpya ya "kuchambana"?

Huu ulikuwa ushamba wa awamu ya tano na ulikwama sana maana walipewa ubalozi hata watu wasio juwa hata wanachokisemea.

Tabia hii haitufikishi popote kama mhamasishaji hajui kuwa Mount Kilimanjaro iko mkoa gani.

Eti watu kama Shilole au Steve wana pewa nafasi kuisemea Royal Tour? Huo sii uharibifu wa pesa!

Au kwa vile wanatumika kuisifia CCM basi ni malipo kwao? Hebu huu ushamba wa awamu ya tano sasa tuachane nao tuwe advance kidogo na kuacha ujinga

IMG-20220430-WA0001.jpg
 
Mwijaku na Wengine Wenzake acha Waendelee tu na huo Ubalozi .... Mambo mbona Yapo Hovyo hovyo Kila Sehemu..!
Ni Wivu tu... Acha wapate riziki. Kwanza Sie wenyewe tumemwelewa.! Bora Kasema Upo Arusha mbona Wakenya Wanatusnich Wanawaeleza Walimwengu Eti Mlima Kilimanjaro Upo Kwao...!
 
Hivi nani aliwaambia kuwa mtu akiwa maarufu kwenye bongo Flava anaweza kushawishi watu kwa kuwa balozi kwenye kila jambo? Au msanii wa mipasho, movie hizi mbovu na hata hii Sanaa mpya ya "kuchambana"?
Huu ulikuwa ushamba wa awamu ya tano na ulikwama sana maana walipewa ubalozi hata watu wasio juwa hata wanachokisemea.
Tabia hii haitufikishi popote kama mhamasishaji hajui kuwa Mount Kilimanjaro iko mkoa gani.
Eti watu kama Shilole au Steve wana pewa nafasi kuisemea Royal Tour? Huo sii uharibifu wa pesa!
Au kwa vile wanatumika kuisifia CCM basi ni malipo kwao? Hebu huu ushamba wa awamu ya tano sasa tuachane nao tuwe advance kidogo na kuacha ujingaView attachment 2205641
Duuh!
Watakwambia watu wanapenda udaku, mizaha, umbea na mambo mepesi..
Inasikitisha sana viongozi nao wanapoingia kwenye huo ulimbukeni!
 
Bado naona hii issue ya ubalozi ni petty issue tu, Ni sawa na kipindi kile watu walivyokomalia Steve kuteuliwa sijui kuwa Msemaji. Aaarrghh sio issue ambayp jamii ilipaswa kukomaa vile ,ikiwa Kuna report ya upotevu wa mabilioni iliyopaswa kukomaliwa.

Kama hapo juu kuna hiyo habari ya Tanesco kupiga hiyo bil 60, hapo ndio jamii inapaswa ikomalie kujua imekuwaje.
 
Hivi nani aliwaambia kuwa mtu akiwa maarufu kwenye bongo Flava anaweza kushawishi watu kwa kuwa balozi kwenye kila jambo? Au msanii wa mipasho, movie hizi mbovu na hata hii Sanaa mpya ya "kuchambana"?
Huu ulikuwa ushamba wa awamu ya tano na ulikwama sana maana walipewa ubalozi hata watu wasio juwa hata wanachokisemea.
Tabia hii haitufikishi popote kama mhamasishaji hajui kuwa Mount Kilimanjaro iko mkoa gani.
Eti watu kama Shilole au Steve wana pewa nafasi kuisemea Royal Tour? Huo sii uharibifu wa pesa!
Au kwa vile wanatumika kuisifia CCM basi ni malipo kwao? Hebu huu ushamba wa awamu ya tano sasa tuachane nao tuwe advance kidogo na kuacha ujingaView attachment 2205641
Tatizo kubwa mnoo la nchi hii Ni WIVU, UJINGA, UPUMBAVU na UMSUKULE.

Watu hawana AGENDA ZAO, wako nyuma ya agenda na MASLAHI YA WATU wengine.

Unataka Vijana wa BAVICHA wakuone Unafaa sana unachapa kazi, Mute Mbowe mpe maslahi yake.

Unataka Vijana wa Magu wakuone Unafaa sana Msifie Magu na usimkosoa hata kidogo.

Unataka Vijana wa Zitto wakuone Unafaa sana Msifie mungu wao.

Yaani Bongo, kitu unachodhani Ni tatizo, kinaweza kuwa tatizo kubwa au kisiwe tatizo kubwa, INATEGEMEANA NA NANI KAKIFANYA.

Leo Zitto akiongelea UFISADI na Rushwa vya AWAMU ya Tano, CHADEMA, Maria Sarungi na SUKUMA GANG watakesha wanaponda kwasababu itaonekana Kama WANAMPA CREDIT.

Suala la Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi wewe DAI CCM, Ukianza kuhoji jinsi Katiba ya CHADEMA ilivyo na kwanini Wana mwenyekiti wa kudumu utashambuliwa vibaya sana.
 
Habari kubwa kabisa ya wizi wa mabilioni ya fedha umeiacha na kudandia udaku?

Tukisema kwamba ulimi ulitereza mada yako Itaendelea?

Tujadilini mambo ya msingi na sio ujinga huu

Nyambaffu kabisa
 
Hivi nani aliwaambia kuwa mtu akiwa maarufu kwenye bongo Flava anaweza kushawishi watu kwa kuwa balozi kwenye kila jambo? Au msanii wa mipasho, movie hizi mbovu na hata hii Sanaa mpya ya "kuchambana"?
Huu ulikuwa ushamba wa awamu ya tano na ulikwama sana maana walipewa ubalozi hata watu wasio juwa hata wanachokisemea.
Tabia hii haitufikishi popote kama mhamasishaji hajui kuwa Mount Kilimanjaro iko mkoa gani.
Eti watu kama Shilole au Steve wana pewa nafasi kuisemea Royal Tour? Huo sii uharibifu wa pesa!
Au kwa vile wanatumika kuisifia CCM basi ni malipo kwao? Hebu huu ushamba wa awamu ya tano sasa tuachane nao tuwe advance kidogo na kuacha ujingaView attachment 2205641
Naunga mkono hoja.
P
 
Kweli inashangaza na kusikitisha sana.
 
Back
Top Bottom