Kuna taarifa kwamba Mzee Edward Hosea ametia nia ya kugombea Urais wa Chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS), bila shaka kama Mwanasheria anayo haki ya kugombea Cheo hicho.
Bali kwa mtu...
Ni Mei Mosi ambpo Samia ametoa maagizo haya kuwa walioondolewa kwa vyeti feki enzi za Magufuli walipwe stahiki zao kama mafao ya kustaafu
Je ni sahihi kuwalipa hasa ikizingatiwa walitenda uhalifu...
Wanabodi,
Kwanza hebu sikiliza hii
Kwanza naomba kuanza na angalizo, kuwa kufuatia kazi nzuri anayoifanya rais wetu, Dr. John Pombe Magufuli, Watanzania wote, wenye mapenzi mema na ya dhati na...
Mimi ni Mtanzania bara. Nimetafakari sana juu ya kile watu wa Tanzania bara wanaita kero za Muunganom au kupendelewa kwa Wazanzibar katika muungano. Utaona kwamba ni mambo madogodogo sana, vitu...
Katika harakati za Kudai uhuru w Tanganyika, Wafanyakazi wali ply part kubwa sana kwa sababu na wao walikuwa na Movement zao zilizo pelekea kupatikana kwa uhuru.
Sio Tanganyika tu bali nchi...
Habari wana JF
Watanzania, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..
Nitajadili mambo makubwa mawili
1. Vita 'kamili' ya III ya dunia.
2. Namna Tz inavyofanyiwa ujasusi
Hoja No...
Mhe.Mohamed Mchengerwa, wakati akiwa Waziri OR -Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kabla ya kuhamishiwa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, aliazisha app ya Sema na Waziri...
Nyuma ya pazia ya kuwahamisha Wamasai ni kwamba kuna View zina tafutwa na hizo view kwa sasa ni makazi ya Wamasai na njia ya kuzichukua ndo kama hio ya kuwahamisha.
Na hata Pesa ya kuwahamisha na...
Makamba anakwenda kuuza Tanesco yetu na watakao inunua ndio hao wanaolipwa mabilioni ya dowans, kwa kifupi, wanachukuwa hela zetu Serikalini tunawalipa halafu wanatumia fedha hiyo hiyo kuinunua...
‘Hakuna ubaya kudai Katiba’
Sunday September 05 2021
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Dk Edward Hoseah amesema si kosa kwa wananchi kudai Katiba Mpya na kwamba wakati umefika kwa...
NCHI YANGU
Nazani mmeona vifurushi vimebadilila, hii ndo tz pekee hapa sababu pia ni vita ya russia
Nchi ambayo TCRA na wao wanasema mwenye anona ni kweli vifurushi vimepanda apige simu(wametoa...
Dk. Slaa ni profesa wa Siasa, yaani kafanya mahojiano kwa muda mfupi, CDM wamepagawa, akili zimewaruka.
Nadhani pengo la Dk Slaa liko wazi na ni kubwa sana ndani ya CHADEMA.
Wote wamefurumuka...
Sasa ni dhahiri kwamba Watanzania wanataka Katiba Mpya , Hakuna tena Ubishi .
Hii imedhihirika baada ya Umati Mkubwa wa wananchi huko Mbozi kuhudhuria Kongamano la Katiba Mpya linalofanyika leo...
January Makamba kama waziri mwenye dhamana ya nishati hapa nchini alipaswa kukomaa kwa hali na mali kuhakikisha JNHP inakamilika kwa wakati na ikiwezekana hata kabla ya wakati.
Kwa nini bila...
Inadaiwa Bodi ya wakurugenzi ya TANESCO imepania kuachana na Mikataba ambayo inaonekana kuwa mzigo kwa shirika kati yake na Makampuni ya Symbion Power na Aggreko mwezi Oktoba 2014, kutokana...
Mbinu zinazotumiwa na CCM kuitawala Tanzania hazitoutiani sana na zile zilizokuwa zikitumiwa na makaburu na Wakoloni dhidi ya waafrika. Katiba, tume ya uchaguzi, ajira mbalimbali na teuzi vyote...
Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.
Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.
Maana sasa...