Ufisadi na ubadhirifu kwenye halmashauri za miji umerudi kwa kasi. Pesa za umma zinatafunwa kama njugu

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.

Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.

Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.

Hali ndio hii kila kona
 
Sio kila kitu ni Raisi tuu, hiyo ngazi ya halmashauri madiwani wenu wanaweza kuwapigania maana kazi mojawapo ya madiwani kusimamia pesa za halmashauri na kuhakikisha zinatumika ilivyokusudiwa, watu tuanze kuwajibishana hapo hapo mitaani kwetu ndio maendeleo ya kweli yatakuja, madiwani wana nguvu sana lakini sijui kama wanajua hilo zaidi ya kujiona wanyonge na kusubiri posho tuu
 
Kama zinapigwa na raisi hata kusikitika Hakuna wewe nani una mamlaka gani ya kuwawajibisha hao halmashauri.A failure state
 
Kila kitu mnataka Raisi ndio asafishe? inawezekana kweli? naamini madiwani na mbunge wa hiyo sehemu kama wana akili wana uwezo kusafisha halmashauri zao bila matatizo
Yeye huyu mama hafoki anawapiga jicho tu sasa sijui jicho gani linazunguka nchi nzima
 
Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.

Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.

Maana sasa hii ni kufuru. Awamu ya tano watumishi walipata uoga baada ya hayati JPM kudhibiti wapigaji. Lakini sasa hali ni mbaya sana. Naona kila mtu ajipimie kadri ya kamba yake.

Hali ndio hii kila kona
kama huna ushahidi vinginevyo ni umbea
 
Back
Top Bottom