The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,110
- 21,977
Look at this energy
Mara ya mwisho kusikia habari zao ilikuwa mwaka Jana🤣🤣
Mara ya mwisho kusikia habari zao ilikuwa mwaka Jana🤣🤣

Inapendeza sanaKuwa BAVICHA CHADEMA raha sana, mikutano makongamano yenye mada tunduizi, vijana wenye fikra huru, wadai mabadiliko kwa ajili ya haki na maendeleo ya watu wote.
Hapa nilileta uzi wa aina hii lakini nilishangaa mods wakautoa au hii jf mods wake ni pro uvccm.
Ni balaa na nusuHapa nilileta uzi wa aina hii lakini nilishangaa mods wakautoa au hii jf mods wake ni pro uvccm.
Naipenda sana CHADEMA. Wana mijadala fikirishi sana. Viongozi bora wa Tanzania watatoka CHADEMA. Sare za CHADEMA zinavutia sana
Mkuu hili Tamasha la Kizimkazi, essence au chimbuko lake ni nini?
wajanja wote wa mada moto tunduizi wanajisikia huru kutoa mihadhara katika majukwaa ya CHADEMA
Deus Kibamba studied Political Science and International Relations at the University of Dar es Salaam UDSM, earned a Master of Arts in International Studies from the University of Sheffield, and completed further studies in public policy and constitution building at institutions including the Institute of Social Studies and Central European University.
Yule mzanzibari Ally Kawaida ameizika UVCCM, Wazanzibari hawawezi siasa ngumu, kwanza ni vile kuongea kunawasumbua, ni walaini sana! CCM ina utaratibu wa hovyo sana, mwenyekiti akitokea Zanzibar viongozi wengi watatoka Zanzibar, ni mfumo wa kiubaguzi na kiupendeleo.
Wanasubiri mikesha ya mwenge wapeane "mautundu".Mara ya mwisho kusikia habari zao ilikuwa mwaka Jana🤣🤣
HahahWanasubiri mikesha ya mwenge wapeane "mautundu".
Uchaguzi Mkuu umeisha. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umeisha. Sasa hivi wana UV CCM wapo bize wananatekeleza kile walichowaahidi Watanzania kwenye Ilani yao.Mara ya mwisho kusikia habari zao ilikuwa mwaka Jana🤣🤣