Malisa: Wakili Madeleka amekamatwa na watu waliojitambulisha ni polisi

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,874
Reaction score
6,378
Kwa madai ya Malisa aliyochapisha katika mtandao wa Istagram amesema Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi akiwa katika Mahakama ya uhujumu uchumi (maarufu kama Mahakama ya Mafisadi) Mikocheni, jijini Dar.

Watu hao hawajaeleza sababu ya kumkamata na hawajasema anapelekwa kituo gani? Kwa mijibu wa taarifa iliyotolewa na Wakili Gideon Mathew watu hao wamekamata pia gari yake, fedha na nyaraka kadhaa alizokua nazo.!

Soma Pia: Wakili Madeleka: Mahakama ichukue hatua dhidi ya Polisi kwa vitendo vya ukiukaji Sheria

Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi akiwa katika .jpg
 
Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi akiwa katika Mahakama ya uhujumu uchumi (maarufu kama Mahakama ya Mafisadi) Mikocheni, jijini Dar. Watu hao hawajaeleza sababu ya kumkamata na hawajasema anapelekwa kituo gani? Kwa mijibu wa taarifa iliyotolewa na Wakili Gideon Mathew watu hao wamekamata pia gari yake, fedha na nyaraka kadhaa alizokua nazo.!
ANd the shenigans continue
 
Kwa madai ya Malisa aliyochapisha katika mtandao wa Istagram amesema Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi akiwa katika Mahakama ya uhujumu uchumi (maarufu kama Mahakama ya Mafisadi) Mikocheni, jijini Dar.

Watu hao hawajaeleza sababu ya kumkamata na hawajasema anapelekwa kituo gani? Kwa mijibu wa taarifa iliyotolewa na Wakili Gideon Mathew watu hao wamekamata pia gari yake, fedha na nyaraka kadhaa alizokua nazo.!
ok.🐒
 
Watu hao hawajaeleza sababu ya kumkamata na hawajasema anapelekwa kituo gani? Kwa mijibu wa taarifa iliyotolewa na Wakili Gideon Mathew watu hao wamekamata pia gari yake, fedha na nyaraka kadhaa alizokua nazo🥺🥺🥺
 
Kwa madai ya Malisa aliyochapisha katika mtandao wa Istagram amesema Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi akiwa katika Mahakama ya uhujumu uchumi (maarufu kama Mahakama ya Mafisadi) Mikocheni, jijini Dar.

Watu hao hawajaeleza sababu ya kumkamata na hawajasema anapelekwa kituo gani? Kwa mijibu wa taarifa iliyotolewa na Wakili Gideon Mathew watu hao wamekamata pia gari yake, fedha na nyaraka kadhaa alizokua nazo.!
Yeye Bora wanajulikana
 
Back
Top Bottom