Lissu: Kama pumzi imekata wafunge ushahidi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,230
Reaction score
17,986

TUNDU LISSU.jpg

Lissu: Kulikua na amri mliyoitoa mwaka jana siwezi kukumbuka tarehe, kwamba upande wa mashitaka ulete mashahidi wawili kila kesi inaposikilizwa, na hii amri mmeirudia tena juzi jumatano mmeirudia jana, kwamba upande wa mashitaka walete mashahidi wengi.

Lissu: Sasa waheshimiwa Majaji upande wa Mashitaka hautekelezi amri za Mahakama kwa sababu hamuwachukulii hatua, wanajua mtawakubalia.

Lissu: Waheshimiwa majaji kusema maneno haya sio kitu chepesi kwangu ila mmeachia amri zenu kupuuzwa.

Lissu: Sasa kwa vile mlisema jana na hawajaleta mashahidi naomba msikubali Mahakama kuu ya Tanzania ikageuzwa kama ile iliyomuhukumu Jomo Kenyatta, ikiwakubalia waleta mashitaka kila kitu na kuukatalia upande wa utetezi kila kitu.

Lissu: Kwanini hawapo tayari kuheshimu amri ya Mahakama. Kama pumzi imekata wafunge ushahidi twende hatua inayofuata. Kama hawako tayari kuendelea wafunge kesi. Msikubali kugeuzwa kama hiyo mahakama niliyoisema.

Lissu: Again for the record (kwa kumbukumbu) hii ndio kesi kubwa zaidi kwa Jamuhuri ya Muungano kwa mujibu wa Katiba, lazima Mahakama ioneshe umuhimu kwa namna inavyosimamia amri zake na maamuzi inayofanya.

Hatutembelei njia ambayo haijafagiliwa, kesi ya uhaini ya kwanza ilichukua miezi sita na siku 17 miaka ya 1970. Na ikasafishwa tena miaka ya 1982 na 1983 kesi ilichukua mwaka mmoja na siku 17 chumba hiki hiki.

Lissu: Leo ni siku ya 495, mwaka mmoja na zaidi ya miezi minne hatujamaliza mashahidi wa upande wa mashitaka nikija kusema aitwe Samia si itachukua miaka mitano, na Philip Mpango na IGP Wambura mtakuwa mmestaafu hawajaitwa.

TUNDU LISSU.jpg
 
Jamaa huwa anawatangulia mbele, halafu wenyewe akina Katuga and Co. Ltd wanafuatia nyuma.
Kesi ya mchongo ni ngumu sana kunyoosha maelezo naona upande wa serikali wanajidhalilisha tu mbele ya walimwengu
Hii kesi sasa hivi inajiendesha kwa nguvu ya subwoofer tu, kelele nyingi lakini ushahidi hamna.
Sasa mkuu mtoa order mwenyewe ni debe tupu unategemea nini
 
Hawe mpole majaji hawajaombo kukumbushwa Amri zao
wenyewe 👈
Kama kakosa Ugali nk. Ndio atoe malalamiko kwa Majaji.🤠🤠
 
Lissu: Kulikua na amri mliyoitoa mwaka jana siwezi kukumbuka tarehe, kwamba upande wa mashitaka ulete mashahidi wawili kila kesi inaposikilizwa, na hii amri mmeirudia tena juzi jumatano mmeirudia jana, kwamba upande wa mashitaka walete mashahidi wengi.

Lissu: Sasa waheshimiwa Majaji upande wa Mashitaka hautekelezi amri za Mahakama kwa sababu hamuwachukulii hatua, wanajua mtawakubalia.

Lissu: Waheshimiwa majaji kusema maneno haya sio kitu chepesi kwangu ila mmeachia amri zenu kupuuzwa.

Lissu: Sasa kwa vile mlisema jana na hawajaleta mashahidi naomba msikubali Mahakama kuu ya Tanzania ikageuzwa kama ile iliyomuhukumu Jomo Kenyatta, ikiwakubalia waleta mashitaka kila kitu na kuukatalia upande wa utetezi kila kitu.

Lissu: Kwanini hawapo tayari kuheshimu amri ya Mahakama. Kama pumzi imekata wafunge ushahidi twende hatua inayofuata. Kama hawako tayari kuendelea wafunge kesi. Msikubali kugeuzwa kama hiyo mahakama niliyoisema.

Lissu: Again for the record (kwa kumbukumbu) hii ndio kesi kubwa zaidi kwa Jamuhuri ya Muungano kwa mujibu wa Katiba, lazima Mahakama ioneshe umuhimu kwa namna inavyosimamia amri zake na maamuzi inayofanya.

Hatutembelei njia ambayo haijafagiliwa, kesi ya uhaini ya kwanza ilichukua miezi sita na siku 17 miaka ya 1970. Na ikasafishwa tena miaka ya 1982 na 1983 kesi ilichukua mwaka mmoja na siku 17 chumba hiki hiki.

Lissu: Leo ni siku ya 495, mwaka mmoja na zaidi ya miezi minne hatujamaliza mashahidi wa upande wa mashitaka nikija kusema aitwe Samia si itachukua miaka mitano, na Philip Mpango na IGP Wambura mtakuwa mmestaafu hawajaitwa.

Long live Tundu Lissu. Umewachana ukweli.
 
Hawe mpole majaji hawajaombo kukumbushwa Amri zao
wenyewe 👈
Kama kakosa Ugali nk. Ndio atoe malalamiko kwa Majaji.🤠🤠
Hata polepole alichekelea Lissu alipolimwa risasi, ila wakati ilipofika naye akapotezwa. Usufurahi haki inapokiukwa kesho inaaweza kuwa zamu yako.
 
MESSI wa Sheria yupo Lupango keko!!
Tumuongezee na Cristian Ronaldo apo vip??
Kosa la uhaini halina dhamana ndio Sheria inataka. hivyo. Pia Kila kesi Ina proceedings zake. Kwa Sasa ni upande wa Jamhuri kutoa ushahidi wake.
 
Ni mapema mno Lissu kusherehekea maana hawa ukiwazidi akili wanatumia nguvu.
 
Hawe mpole majaji hawajaombo kukumbushwa Amri zao
wenyewe 👈
Kama kakosa Ugali nk. Ndio atoe malalamiko kwa Majaji.🤠🤠
acha tu kukumbushwa majaji nao viazi tu wanajifunza mengi kwa TL

jana anasema mashahidi waletwe kwa wingi, kesho anakujibu shahidi kapata udhuru unaona majaji wanajielewa kweli, wangekua wanajielewa wasinge chezea hivyo
 
Back
Top Bottom