Mliokuwa mnafurahia wabunge wa Chama kimoja, Chadema ife, upinzani ufe ibaki CCM tu nadhani Sasa akili zimerudi

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,729
5,923
Awamu iliyopita ilifanya Kila mbinu, kushawishi, kutishia, kuhonga n.k kuhakikisha nchi nzima inakuwa KIJANI.

Na hata wale waliojaribu kukataa kuunga mkono waliona Cha mtema Kuni.
Hatimaye mwaka 2020 nchi ikawa kijani na wabunge 99% wakawa wa Chama kimoja!

Sasa wote tunaona Bei ya mafuta ikiwa 3200+
Na tunaambiwa BADO ITAPANDA HUO NI MWANZO TU!

kama Tungekuwa na upinzani imara Leo hii utopolo huu usingekuwepo!
Wangekuwa wapo watu wa kuwasemea Wananchi...
Lakini Sasa Kila mmoja anaunga mkono hoja.

Tutegemee msoto zaidi.
 
"Mheshimiwa Spika nakupongeza, wewe endelea kuwatimua huko ndani, wakitoka nje wataropoka tu, unajua huko ndani wana immunity fulani anaweza kuropoka lolote, nakuhakikishia wakiropoka huku nje nitadeal nao"

Alisikika Kiongozi mmoja aliyedhani yeye ana hatimiliki na nchi hii na wajinga wakamshangilia
 
Awamu iliyopita ilifanya Kila mbinu, kushawishi, kutishia, kuhonga n.k kuhakikisha nchi nzima inakuwa KIJANI.

Na hata wale waliojaribu kukataa kuunga mkono waliona Cha mtema Kuni.
Hatimaye mwaka 2020 nchi ikawa kijani na wabunge 99% wakawa wa Chama kimoja!

Sasa wote tunaona Bei ya mafuta ikiwa 3200+
Na tunaambiwa BADO ITAPANDA HUO NI MWANZO TU!

kama Tungekuwa na upinzani imara Leo hii utopolo huu usingekuwepo!
Wangekuwa wapo watu wa kuwasemea Wananchi...
Lakini Sasa Kila mmoja anaunga mkono hoja.

Tutegemee msoto zaidi.
Huna mantiki kwenye andiko lako,kwa sababu bunge la kijani sio chanzo cha kupandisha bei ya mafuta nchini.

Huko kote ilikopanda bei ya mafuta Duniani,hakuna bunge la chama kimoja.

Leo wabunge walisitisha shughuli rasmi za bunge.
Ili kujadili hoja binafsi ya dharula ya mbunge wa CCM.

Kuhusiana na ongezeko la bei ya mafuta isiyoendana na uhalisia wa maisha mtaani.

Serikali imepewa muda ili ikajipange na kuja na majibu sahihi siku ya Jumanne ya wiki ijayo.

Tunajua mko kijiweni ila tumieni muda huu kujifunza ubunge wa kisasa zaidi,badala ya ubunge wa matusi na kejeli mliokuwa mkiufanya.

Karibuni tena kwenye Boksi 2025,ili mjaribu bahati yenu.

Kwa sasa endeleeni na bunge la Club House na Maria Sarungi Spaces.
 
wewe unaongea nn naona unatetea utumbo wa tatizo mikodi mingi ili muonekane mnakusanya kodi kubwa ili hali watu wanateseka,
 
Awamu iliyopita ilifanya Kila mbinu, kushawishi, kutishia, kuhonga n.k kuhakikisha nchi nzima inakuwa KIJANI.

Na hata wale waliojaribu kukataa kuunga mkono waliona Cha mtema Kuni.
Hatimaye mwaka 2020 nchi ikawa kijani na wabunge 99% wakawa wa Chama kimoja!

Sasa wote tunaona Bei ya mafuta ikiwa 3200+
Na tunaambiwa BADO ITAPANDA HUO NI MWANZO TU!

kama Tungekuwa na upinzani imara Leo hii utopolo huu usingekuwepo!
Wangekuwa wapo watu wa kuwasemea Wananchi...
Lakini Sasa Kila mmoja anaunga mkono hoja.

Tutegemee msoto zaidi.
Shida yote hii sababu ya CCM.
 
Huna mantiki kwenye andiko lako,kwa sababu bunge la kijani sio chanzo cha kupandisha bei ya mafuta nchini.

Huko kote ilikopanda bei ya mafuta Duniani,hakuna bunge la chama kimoja.

Leo wabunge walisitisha shughuli rasmi za bunge.
Ili kujadili hoja binafsi ya dharula ya mbunge wa CCM.

Kuhusiana na ongezeko la bei ya mafuta isiyoendana na uhalisia wa maisha mtaani.

Serikali imepewa muda ili ikajipange na kuja na majibu sahihi siku ya Jumanne ya wiki ijayo.

Tunajua mko kijiweni ila tumieni muda huu kujifunza ubunge wa kisasa zaidi,badala ya ubunge wa matusi na kejeli mliokuwa mkiufanya.

Karibuni tena kwenye Boksi 2025,ili mjaribu bahati yenu.

Kwa sasa endeleeni na bunge la Club House na Maria Sarungi Spaces.
Yaani unategemea wabunge wa CCM waiwajibishe serikali ya CCM?
Rudisha fahamu
 
we pmbi unaongea nn naona unatetea utumbo wa mavi tatzo mikodi mingi ili muonekane mnakusanya kod kubwa ili hali watu wanateseka,
Suala ni kuwajibika kwa wabunge sio upimbi wangu.

Chadema siku zote matusi mengi badala ya hoja.

Hata kama mngekuwa ndani ya bunge,hizo tozo bado zingekuwepo.

Sisi tunaangalia na kujibu mada iliyoletwa humu jukwaani sio matusi.

Nyinyi hao hao kupitia Mbowe wenu ndio mlimsifia mama yenu huku mkifurahia kifo cha Magufuli.

Hamkujua mama anaparura na kupuliza??
 
Kwahiyo Mbowe Ndio kasababisha mafuta yapande?
 
"Mheshimiwa Spika nakupongeza,wewe endelea kuwatimua huko ndani,wakitoka nje wataropoka tu,unajua huko ndani wana immunity fulani anaweza kuropoka lolote,nakuhakikishia wakiropoka huku nje nitadeal nao"

Alisikika Kiongozi mmoja aliyedhani yeye ana hatimiliki na nchi hii na wajinga wakamshangilia
Na tunaendelea kumshangilia, ukitaka kuamini nenda jukwaani kwa mkutano wa hadhara then mtukane uone kitakachokupata taahi.ra wewe, bado atawatesa sana.
 
Kwahiyo Mbowe Ndio kasababisha mafuta yapande?
Mbowe ni mmojawapo wa waliofurahia ujio wa Samia na kusherehekea kifo cha JPM.
sasa wafuasi wake tulieni mumsikilize mwamba wa kaskazini,pamoja na walamba asali chini ya Rafiki yenu kinana wanavyotunyoosha.
 
Awamu iliyopita ilifanya Kila mbinu, kushawishi, kutishia, kuhonga n.k kuhakikisha nchi nzima inakuwa KIJANI.

Na hata wale waliojaribu kukataa kuunga mkono waliona Cha mtema Kuni.
Hatimaye mwaka 2020 nchi ikawa kijani na wabunge 99% wakawa wa Chama kimoja!

Sasa wote tunaona Bei ya mafuta ikiwa 3200+
Na tunaambiwa BADO ITAPANDA HUO NI MWANZO TU!

kama Tungekuwa na upinzani imara Leo hii utopolo huu usingekuwepo!
Wangekuwa wapo watu wa kuwasemea Wananchi...
Lakini Sasa Kila mmoja anaunga mkono hoja.

Tutegemee msoto zaidi.
Hakika umenena
 
Chadema Wana visima vya mafuta?
 
Back
Top Bottom