Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,881
Hakika inashangaza sana NCHI ya UCHUMI wa KATI inahangaika kutatua CHANGAMOTO za kupanda kwa Bei ya Mafuta na Bidhaa za Vyakula na VIWANDANI.
Changamoto kubwa ni MAWAZIRI wa kumsaidia Mh. RAIS sio Wabunifu hata kidogo
Mawaziri wapo lakini hawana Msaada wowote kwa Aliyewateua Mawaziri wapo KISIASA zaidi kuliko Kiuchumi na Kibunifu.
UONGOZI sio Kusikiliza KERO na SHIDA za Wananchi bali ni Kubuni Njia za kuzuia Kero na Shida za Wananchi zisitokee lakini Viongozi wetu hata wanapoelezwa Shida na Kero za Wananchi bado hawawezi kutatua mpaka Mh. RAIS Aende na Atoe Maelekezo.
Kuna haja Gani ya kuwa na MAWAZIRI wa Aina hiyo? Kuna wakati KATIBU MKUU wa CCM aliwahi kusema Kuna MAWAZIRI MIZIGO ni Kweli Wapo ndio maana Mambo hayaendi.
Kuna Wakati Waziri wa Viwanda alikuwa Anashangaa na haelewi kwanini Bidhaa za Viwandani zimepandishwa kiholela
Nashangaa sana Serikali na BUNGE kukuna Vichwa kwa Ajili ya kupanda Bei ya Mafuta wakati Suala ni KUONDOA UTITIRI WA KODI
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app