Wabunge wa upinzani, nje ya ubunge ni wachovu sana

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,173
27,223
Mwanaharakati Che Guevara alikua na salamu yake akisema" peoplesssssss........"

Baada ya kuwasalimu hapo ki-che guevara basi leo nawasanua na iwe kama elimu kwenu kuwa wabunge wale waliokua upinzani na waliokua na maneno meengi sana, jazba, ngebe na ashki kumbe nje ya ubunge ni weupe peeeh.

Ipo hivi

- Sasa hivi yule mbunge wa upinzani aliyewahi kuwa mbunge kwenye jiji lililopo nyanda za juu kusini. Baada ya kukosa ubunge mambo yalikua mabaya upande wake na hata biashara ya hotel aliyokua ameanzisha haikwenda vizuri.
Hapa na pale mambo yakawa magumu, akaomba wizara ya afya afanye kazi ya kutembea mtaa kwa mtaa kuhamasisha watu wapate chanjo ya corona, Malipo.

- mbunge ambae alisema anaongoza watu na wanyama, huyu kwanza mambo yalikua magumu sana tena ni miezi kadhaa tu tokea apokee kiinua mgongo cha ubunge(sijui alifanyia nn hii pesa ikaisha). Hali ikazidi kuwa mbaya kiuchumi Akaenda kuomba kazi ya kuwa mtangazaji kituo kimoja cha radio maarufu sana hapa jiji la lawama. Akapata kazi ila viongozi wa chama na washkaji zake wakaja juu kuwa atadharaulika na kujishushia hadhi(Sasa hadhi gani bila pesa). Akaachana na hiyo kazi kabla ya kuanza japo alishatambulishwa. Mshahara ilikua apewe 1m. Imagine kutoka 12m hadi 1m tena akipewa probation

- Mbunge aliyekua mkoa ambao watu wanasema wanakula mbwa huko, huyu ni kama alichanganyikiwa kabisa maana alianza na mguu mbaya. Baada ya kukosa ubunge akawa anapita na michango ya chama chake kwenye mkoa huo tena michango ya kina mama wa chama. Huko wakamshtukia Ila yakaisha, mambo yakawa magumu zaidi akaongea na mmoja wa viongozi wa sasa apewe hata ubalozi wa masuala ya utalii kwa kuwa anasema analifahamu eneo hilo la utalii vizuri. Kakubaliwa?? , Au je alikakataliwa?

- mbunge kutoka lile jiji la wagumu, wazee wa hiphop. Yeye baada ya kuona mambo hayakuwa sawa akatengeneza drama akakimbia kama mkimbizi. Na ndio alikua anawaongopea watu kua alikua na biashara nyingi. Biashara karibu zote zilikua mufilisi, alikua anadaiwa kila kona na ubunge ndio uliweza kumfanya kulipa lipa kidogo. Sasa ubunge akakosa, akaona isiwe tabu akatia mpira kwapani. Atakubali kurudi huku ikiwa huko alipo anakula na kulala bure? Sijui

- Mbunge kutoka mkoa wa kanda maalum, kule mpakani kabisa. Huyu mwanzo alionekana kuwa mbishi anaweza kumudu maisha yaleyale nje ya ubunge. Weeeh, mambo yakaanza kumbadilikia, kila akiangalia huku na huku haoni mwanga. Wakamshauri pesa aliyopata awekeze kwenye kilimo, kilimo gani? Kumbe kilimo cha parachichi. Sasa hadi parachichi uvume ni miaka mitatu, itakuwaje hapo katikati?
Na je huko shambani mambo yanamuendea vizuri? Ntawajuza siku nikiamua au nikiona analeta ngebe

Swali linaweza kuwa si wahamie tu huko waunge juhudi wapewe nafasi?

Jibu; Chama tawala kwa Sasa tumekubaliana kama hujapita chipukizi hupati nafasi. Kwani wao walipita chipukizi?

Mwisho
Nawapongeza sana wale wabunge wanawake waliyajua yote hayo wakakubali lawama kuliko fedheha.
 
Hayo magumu ya wabunge yanaweza kumkumba mtu yeyote hata wewe, au unakataa? Muulize Makonda hakuwahi kufikiri anavyofikiri leo, Sabaya ni mwingine...
 
Eti ubunge ulioota Mbawa ndio "uchafuzi " huu...ona aibu Nick MATAGA.

IMG_20201027_222808.jpg
IMG_20201028_173703.jpg
 
Hizi picha kila mwaka mnazitumia. Simu zenu zina memory kiasi gani?
Wizi hauna expiry date..

Nakuongeza zingine hapo..

Mlifikiri dunia iko gizani mkizima mitandao hakuna atakayepata record ya uovu wenu.

Pole sana hizi zitadumu hata mwisho wa dunia na watoto na wajukuu zetu tutawaonesha kuwa Tanzania iliwahi kutawaliwa kishetani baada ya uhuru wa bendera.
images (13).jpeg
 
Hizi picha kila mwaka mnazitumia. Simu zenu zina memory kiasi gani?
Aaaaah!
Umeona janja yao, mtu huwezi ukatunza kwenye simu yako miaka na miaka vipicha vingi kiasi hicho.
Lililo wazi kitengo cha propaganda cha chama chao ndiyo kina database na kimeajiri vijana wengi kwa akili ya kazi hiyo.
Usishangae ndiyo “siasa” inayofanywa na chama chao kwa asilimia 90.
 
Back
Top Bottom