CCM upandaji wa mafuta na jitihada wanazochukua

CCM upandaji wa mafuta na jitihada wanazochukua

The Dictator

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
4,486
Reaction score
12,334
SABABU ZA GHARAMA ZA MAFUTA KUONGEZEKA

1. Janga la UVIKO19 lilipelekea
  • kupungua kwa uzalishaji.
  • kuongezeka kwa gharama za usafirishaji.
  • kuongezeka kwa gharama za mafuta

2. Vita ya Urusi na Ukrain
- Imeathiri usambazaji wa mafuta kwani Urusi mzalishaji wa mafuta namba 2 duniani ikizalisha takribani 23.2% ya mafuta yote duniani.

BEI ZA MAFUTA TANZANIA NA NCHI JIRANI ( Kwa shilingi ya Tanzania):-

• Tanzania - 3,148
• Uganda - 3,340
• Zimbabwe - 3,520
• Malawi - 3,939
• Zambia - 3,616
• Kenya - 3,272

HATUA AMBAZO SERIKALI INACHUKUA:-

1. Kuanza kuagiza mafuta moja kwa moja toka kwa nchi wazalishaji.

2. Kuanzisha hifadhi ya mafuta ya muda mrefu.

3. Kuanzisha mfuko wa uhimili ukali wa bei za mafuta

4. Kuimarisha mfumo wa uagizaji wa mafuta wa pamoja.

5. Kupitia mfumo wa kodi kwenye mafuta

Pitia pia:-
20220507_161927.jpg
 
Back
Top Bottom