Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sababu ya kwanza: DRC kuna shughuli nyingi sana za uchimbaji madini kama shaba na madini mengine. Makampuni makubwa ya kibepari yamefunga mitambo yao ya kupasuwa miamba huko. Shaba na madini...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika nchi ambazo zimeshuhudia mabadiliko finyu ya kisiasa baada ya uhuru wao mabaraza ya vijana na wanawake ndio yamekuwa mstari wa mbele zaidi kutetea maslahi ya vyama vyao. Kwa upande wa...
1 Reactions
2 Replies
522 Views
Kwa namna ambavyo kauli mbiu na mabango mengi ambayo yamebebwa na Wafanyakazi katika maadhimisho haya ya siku ya Wafanyakazi ,Kiongozi wa Nchi ilibidi aje na majibu kamili sio kutoa maagizo ya...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Je, ilikuwa ni kesi ya kisiasa kati ya chadema dhidi ya Sabaya? Ilianzia jana huko Club House za Twitter ambapo kiongozi mwandamizi wa Chadema ndugu Godbless Lema alitoa povu la kutosha...
5 Reactions
85 Replies
5K Views
Mataifa mengi hupinga dhuruma Kwa kuwafichua wadhulumati, hupinga Rushwa Kwa kuwafichua Wala Rushwa na kufichua wasio waadilifu Kwa kufichua historia yao ya utendaji Haitoshi kuheshimu hukumu ya...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
WABUNGE takribani 75 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao walijitosa kutetea nafasi zao katika uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba mwaka huu, wameangukia pua. Mkutano wa Halmashauri Kuu ya taifa (NEC)...
31 Reactions
155 Replies
20K Views
Nimefuatilia Ziara zao hao Act Wazalendo hawana sapoti kabisa. Hata vijiwe vyote muhimu hapa Mwanza wanamponda na kumuona kibaraka wa mafisadi aliyajaa unafiki. Watu wa kanda ya ziwa hawamtaki...
8 Reactions
86 Replies
6K Views
Waziri wa Tamisemi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Apoo Tindwa kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za kusaidia maendeleo...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Ulinz wa Viongozi kwa kweli unatia kinyaa! Ni kuanzia kwa rais wa Jamhuri ya Muungano hadi kwa rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Huu ulinzi wao umezidi mipaka, unatisha na wala haupo...
23 Reactions
88 Replies
8K Views
Hii ndio dondoo niliyoipata kwa siku ya leo , Kwamba hawa Manusura wa Kaburi , wanatajwa kuwemo kwenye Vikao vya Baraza kuu la Chadema vitakavyofanyika 11/5/2022 Nchini Tanzania , maana ya jambo...
25 Reactions
68 Replies
5K Views
Wakati wa “Crisis” watu husubiria kusikia kiongozi anasema nini Tarehe 4 mwezi wa tatu mwaka 1933, aliapishwa Rais wa 32 wa Marekani... ...Franklin D. Roosevelt baada ya kumshinda mpinzani wake...
3 Reactions
3 Replies
683 Views
Kipindi cha misukosuko kama hiki natarajia kuona mchango wake lakini hadi sasa yupo kimya! Najiuliza mfano imetokea ajali kama ilivyotokea. Je, unaona tunaye kiongozi hapo wa kushika usukani ama...
9 Reactions
48 Replies
4K Views
Ilikuaje Mkandarasi tena wa kigeni kulipwa pesa kubwa kuliko kazi aliyofanya? Hapa kuna harufu ya ufisadi,haina maana watu wamekula pesa na wamesepa eti ndio mnaanza kushika passport zao kwa...
3 Reactions
57 Replies
3K Views
Vihiyo hawa walioajiriwa kwa kubebwa na viongozi huku wakijua elimu yao haikidhi uandishi wa anuani. Wakati waziri mkuu ameagiza kuhakiki usahihi wa majina ya mitaa serikali inabidi ifikirie...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258 Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022 Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga...
10 Reactions
420 Replies
38K Views
Leo tarehe 07/05/2022 timu ya mabalozi wa Join the Chain ( Join the Chain Ambassadors ) Arusha iliingia ndani ya Soko Kuu Arusha na soko la Kilombero kukusanya michango ya wadau mbalimbali wa...
12 Reactions
35 Replies
3K Views
Bwana Zitto anasema Magufuli hakuwa mkweli na aliendesha miradi mikubwa kwa fedha za mikopo. Kauli ya bwana Zitto ni muendelezo wa baadhi ya wanasiasa nchini kwetu kushindana na Maiti ya hayati...
9 Reactions
51 Replies
2K Views
Ni muhimu tuelezane ukweli kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Wabunge wote na WanaCCM wote watakaomnanga Magufuli wajiandae kupoteza ubunge na nafasi zao ndani ya Chama. Hayati baba John...
19 Reactions
84 Replies
7K Views
Huwa nikikaa nafikiria jinsi wanasiasa wanavyopambana kushika nafasi mbalimbali za kisiasa ,wengi wamepambana Sana lakini hawajafanikiwa Lakini Cha kushangaza Dkt. Mpango ni kama ana bahati ya...
19 Reactions
98 Replies
8K Views
Back
Top Bottom