Tetesi: Tundu Lissu na Godbless Lema Kuhudhuria vikao vya Baraza Kuu la CHADEMA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,628
218,059
Hii ndio dondoo niliyoipata kwa siku ya leo , Kwamba hawa Manusura wa Kaburi , wanatajwa kuwemo kwenye Vikao vya Baraza kuu la Chadema vitakavyofanyika 11/5/2022 Nchini Tanzania , maana ya jambo hili ni kwamba wawili hawa hivi sasa wanazo tiketi mikononi mwao kwa ajili ya kuanza safari za kurejea nchini , na kuhudhuria vikao vya chama chao.

Tuendelee kutega sikio hapahapa JF kwa taarifa zaidi .

Mungu ibariki Chadema .
 
kazi tunayo Mana

Tuna Vita Ukraine na urusi
...kupanda kwa vitu Bei Sana
...Royal tour
....tundulisu vs lema ....ngoja Lisu arudi hauweni tunaweza pata aje aendelee kutufundisha Sheria pengine hata kwenye tv saa mbili usiku tutakaa kusikiliza habari kazi yakurudi usiku kwajili ya bbc na DW inatuchosha
 
Project iliyobuma.
Wakajipeleka ukimbizini wakidhani kutaibuka wimbi kubwa la watu kikimbia nchi; ikawa kinyume!
Wakaweka masharti ya kurudi: rais atoe tamko la kuwatangaza kama wao wafalme ndipo warudi; SSH kawakaushia, wameamua kujirudisha wenyewe kama wanatoka msalani tu.
Simpendi Kikwete, lakini alikuwa sahihi aliposema: za kuambiwa changanya na zako. Hawa jamaa hawana zao za kuchanganya.
 
Una uwezo mdogo sana !
 
Crap... yaani ulichoandika ni uchafu
 
Hii ndio dondoo niliyoipata kwa siku ya leo , Kwamba hawa Manusura wa Kaburi , wanatajwa kuwemo kwenye Vikao vya Baraza kuu la Chadema vitakavyofanyika 11/5/2022 Nchini Tanzania , maana ya jambo hili ni kwamba wawili hawa hivi sasa wanazo tiketi mikononi mwao kwa ajili ya kuanza safari za kurejea nchini , na kuhudhuria vikao vya chama chao.

Tuendelee kutega sikio hapahapa JF kwa taarifa zaidi .

Mungu ibariki Chadema .
Mtu akidondoka analia kama shilingi
 
Kama watarudi na kuingia nchini na passport zao za TANZANIA, ni wananchi wanaorudi kwao na ni haki yao. Lakini kama wataingia na Travel Documents za hizo nchi walizo kimbilia na wakaingia kwa VIZA basi ni watalii n sio wananchi hawana haki ya kuingilia siasa za nchini.

Nina imani bado watakuwa hajaukana uraia wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom